Simba mzee
Member
- Oct 21, 2011
- 23
- 3
Kwamda mrefu nimekuwa mshiriki katika jukwa hili kama mpita njia lakini sasa nimeamua kuingia rasmi katika ulingo huu kama mjumbe katika uwanja huu wa magreat thinkers niweze kuchangia na kutoa hoja mbalimbali za kujenga.
He! Kweli? Kumbe tulikuwa wawili? Karibu sana ingawa mimi sio weweKwamda mrefu nimekuwa mshiriki katika jukwa hili kama mpita njia lakini sasa nimeamua kuingia rasmi katika ulingo huu kama mjumbe katika uwanja huu wa magreat thinkers niweze kuchangia na kutoa hoja mbalimbali za kujenga.
He! Kweli? Kumbe tulikuwa wawili? Karibu sana ingawa mimi sio wewe
mmmh!!!! haya!!! karibu mgeni!!Karibu sana, mimi naitwa Mwita25 mtu maarufu kuliko wote humu.