Ndetirima JF-Expert Member Oct 4, 2011 1,008 784 Oct 5, 2011 #1 Jamani nimeingia toka jana bila hodi. Naomba kukaribishwa rasmi. Samahani kwa kuingia na kula bila kukaribishwa wala kunawa.
Jamani nimeingia toka jana bila hodi. Naomba kukaribishwa rasmi. Samahani kwa kuingia na kula bila kukaribishwa wala kunawa.
U utantambua JF-Expert Member Aug 1, 2011 1,367 321 Oct 6, 2011 #7 Karibu ndani. Unatumia kinywaji gani mkuu?
AshaDii Platinum Member Apr 16, 2011 16,190 18,077 Oct 11, 2011 #9 Ndetirima katibu saana... na hio ulikula ni kionjo tu hivo karibu chakula chenyewe.... Enjoy...