Rehema Chahe2022 New Member Jun 2, 2022 1 2 Jun 2, 2022 #1 Ninaitwa Rehema Chahe, ni mgeni humu ni matumaini yangu nitajifunza mengi kutoka kwenu na mtajifunza mengi kutoka kwangu, Baraka za Mungu ziwepo nanyi, asanteni.
Ninaitwa Rehema Chahe, ni mgeni humu ni matumaini yangu nitajifunza mengi kutoka kwenu na mtajifunza mengi kutoka kwangu, Baraka za Mungu ziwepo nanyi, asanteni.
U Ulimakafu JF-Expert Member Mar 18, 2011 29,056 10,700 Jun 3, 2022 #2 Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.
T 1990 ELY JF-Expert Member Sep 7, 2014 12,174 28,322 Jun 3, 2022 #3 Karibu sana mkuu.. Vipi umekaguliwa lakini?