Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 29,980
- 32,287
khaaaaaaaa ndoa yenu mmeifunga kisirisiri?? lolest!
We acha tu si unajua kitu cha mkeka hakina mwaliko wala mbwembwe?
khaaaaaaaa ndoa yenu mmeifunga kisirisiri?? lolest!
Huyn bepari la Kihaya Bishanga nilimweleza siku nyingi akadhani namtania.
Labda aje hapa uwanjani ndio ataamini.
The secretary ila waweza kumwambia kisirisiri ili wengine kama mathematics wasisikie maana atakunywa sumu.
hapo umenenena
ukiona mwafrica anajichubua basi anajaribu kuukana uafrica! Sasa mkiona na mimi humu nimepiga hodi, mjue nimepakimbia jukwaa la siasa! Hali zenyu banaaa
:biggrin1: nimeipenda hii..huku hakuna stress hata ukiibiwa demu wako hapa wala ulalamiki sana sana mnapongezana ndio maana ukishakaa kwa mda hapa utagundua kila mtu ana zaidi ya mpenzi mmoja na hakuna ugomvi..yani hapa in short ni kama uko peponi
aaaaah! mtoto wa mjini uko huku pia, mana naonaga mbwembwe zako kule jukwaani jagwani! kha! kumbe mimi tu ndo nlikuwa na mbwela, kwi kwi kwi
:biggrin1: mi nipo kila mahali siasa michezo habari mapenzi international yaani wewe kila sehemu utanikuta ndo maana mi ni mtoto wa town ishu zote lazima nizijue