hodi hodi! chitchat jameni. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

hodi hodi! chitchat jameni.

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by markj, Aug 8, 2012.

 1. m

  markj JF-Expert Member

  #1
  Aug 8, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 1,756
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  ukiona mwafrica anajichubua basi anajaribu kuukana uafrica! sasa mkiona na mimi humu nimepiga hodi, mjue nimepakimbia jukwaa la siasa! hali zenyu banaaa
   
 2. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #2
  Aug 8, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Mbona unaingia kwa mkwara?
   
 3. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #3
  Aug 8, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Tuko pouwa sana,karibu huku stress freeeeeeeeeeeeeeeeeeee zone!!!
   
 4. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #4
  Aug 9, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,700
  Likes Received: 12,750
  Trophy Points: 280
  Duuuuh! Kaa chini kwanza!
   
 5. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #5
  Aug 9, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Huku hakuna boycott ! Sijui ma'Strike sabotage ! Usije ukajaribu kutufundisha migomo! Mara kuulizia change ya kashfa ya Rada!
  Huku tulishatajirikaga zamani !
  Wala hakuna anaefikiria kuuza Twiga huku ! Au kuchukua miti ya Sao Hill kisha kuizungushia Mombasa na kuirudisha tena Tz na kuwauzia Tanesco kwa mintarafu eti imetoka bondeni , hapa hakunaga masafidi !
   
 6. ummu kulthum

  ummu kulthum JF-Expert Member

  #6
  Aug 9, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 2,791
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  karibu sana na jisikie uko jukwaa la siasa ila huku kwetu ni mapishi na malovee siasa huku hatujui.....
   
 7. Eversmilin Gal

  Eversmilin Gal JF-Expert Member

  #7
  Aug 9, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 783
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  karibu ujisikie uko nyumbani
   
 8. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #8
  Aug 9, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,994
  Trophy Points: 280
  Tena umpe na pepeo ajipepee hubby.
   
 9. beibe nasty

  beibe nasty JF-Expert Member

  #9
  Aug 9, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 1,648
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  haya uje tuu utulizane
   
 10. The secretary

  The secretary JF-Expert Member

  #10
  Aug 9, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 4,161
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Makubwaaa Madame B siku hizi hubby wake ni ruttashobolwa bila msajili wa ndoa na talaka Bishanga kuwa na taarifa?
   
 11. v

  valid statement JF-Expert Member

  #11
  Aug 9, 2012
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  karibu mkuu...jukwaa la wote hili
   
 12. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #12
  Aug 9, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  khaaaaaaaa ndoa yenu mmeifunga kisirisiri?? lolest!
   
 13. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #13
  Aug 9, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  haya mgeni karibu! watoto wadogo hawabakwi humu ndani marufuku, jitafutie jimama lako upumzike! au kabint kako mpekuane!
   
 14. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #14
  Aug 9, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,991
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Karibia mwana.
   
 15. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #15
  Aug 9, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  :biggrin1: nimeipenda hii..huku hakuna stress hata ukiibiwa demu wako hapa wala ulalamiki sana sana mnapongezana ndio maana ukishakaa kwa mda hapa utagundua kila mtu ana zaidi ya mpenzi mmoja na hakuna ugomvi..yani hapa in short ni kama uko peponi
   
 16. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #16
  Aug 9, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,856
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  mwambie muelezee ajue!
   
 17. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #17
  Aug 9, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,856
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  mtotowamjini tafadhali naomba kumfahamu wifi yangu tafadhali!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #18
  Aug 10, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  :biggrin1: wifi yako ni keyboard yangu ndio niko mda mwingi nae.. Na hivi asprin ashachukua wote labda nimhonge anipigie cross la sivo mhhh :happy:
   
 19. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #19
  Aug 10, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Uamuzi wa busara sana uliochukua,na siku zote nawashangaa wanaohamaki kwa kujadili siasa wakati wanasiasa wenyewe ni wasiri utafikiri wafuga Fisi..
   
 20. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #20
  Aug 10, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,994
  Trophy Points: 280
  Huyn bepari la Kihaya Bishanga nilimweleza siku nyingi akadhani namtania.
  Labda aje hapa uwanjani ndio ataamini.
  The secretary ila waweza kumwambia kisirisiri ili wengine kama mathematics wasisikie maana atakunywa sumu.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...