hodi hodi! chitchat jameni.

ushakula ban umekimbilia huku,
kule siyo kwa kwenda na mahasira, mbona jf itakusahau,
ila karibu sana mkuu.
 
welcome to,
chit+chat+by+sean+via+the+kk+job+center.jpg

zone
 
:biggrin1: nimeipenda hii..huku hakuna stress hata ukiibiwa demu wako hapa wala ulalamiki sana sana mnapongezana ndio maana ukishakaa kwa mda hapa utagundua kila mtu ana zaidi ya mpenzi mmoja na hakuna ugomvi..yani hapa in short ni kama uko peponi

aaaaah! mtoto wa mjini uko huku pia, mana naonaga mbwembwe zako kule jukwaani jagwani! kha! kumbe mimi tu ndo nlikuwa na mbwela, kwi kwi kwi
 
Wakuu nimekaribia rasmi sasa! Mana nlikuwa naumwa kidogo, si ndo nkawa nimewachunia kidogo, sasa nimekuja kidogo.
 
aaaaah! mtoto wa mjini uko huku pia, mana naonaga mbwembwe zako kule jukwaani jagwani! kha! kumbe mimi tu ndo nlikuwa na mbwela, kwi kwi kwi

:biggrin1: mi nipo kila mahali siasa michezo habari mapenzi international yaani wewe kila sehemu utanikuta ndo maana mi ni mtoto wa town ishu zote lazima nizijue
 
:biggrin1: mi nipo kila mahali siasa michezo habari mapenzi international yaani wewe kila sehemu utanikuta ndo maana mi ni mtoto wa town ishu zote lazima nizijue

humetisha mtoto wa mjini! mimi ni chit chat,picha duka na nafasi za kazi! siasa skuizi napita juu juu!
 
kijana kaja na lugh ngumu kama kule siasa!!! ila karibu sana hapa pia
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom