Hizi tetesi ni kweli kuhusu Nyerere?

Hizi tetesi ni kweli kuhusu Nyerere?

Acha utani! ulisha wahi kulogwa? nilisha wahi kulogwa kila siku asubuh najikuta nipo juu ya tawi la mgomba siku nyingine naamka asubuh najikuta nipo ndani ya pipe la bomba la maji! Nilisha wekwa chini ya bahari wiki nzima bila kutoka juu! ndugu zangu mim naamini 100% uchawi upo

Hahahaha hadithi njoo utamu kolea 😀😀😀
 
Tunapo comment,tuseme kweli daima,"Msema ukweli ni Mpenzi wa MUNGU".Sasa kwanin baadhi yetu tunaandika mambo ambayo ukibanwa kwenye 18,Kwamba hebu thibitisha! hatuwezi?.Kama huna uhakika sema sijui,utakuwa mtu mwema kuliko kusema eti,Nasikia walisema;akina nani sasa?. TUBADILIKE.
 
nasikia yule mzee alikua ni mtata wanasema ata alipo kufa waligundua kwenye saa yake wanasema ilibadika rangi na wanasema kila raisi wa nchi hii lazima awe mkubwa wa wachawawi si unaona viongozi wetu wana mawazo ya kichawi chawi unakuta wanaongea vitu ambavyo havipo

una utani na CHADEMA wewe??
 
Zamani tunasadikishwa kuwa yule Mzee wetu JK wa kwanza (Mungu amlaze pema peponi) ,alikuwa ni mtaalamu sana wa hizi kamati za ufundi wa mambo ya asili ya mwafrika (uchawi).....

Zipo hadithi mbali mbali tulizokuwa tunasimuliwa kuhusu yeye kwamba:- alikuwa na saa/rada (vyovyote iwavyo) kila alipokuwa anataka kusafiri anakwenda kuiangalia, akikuta ina rangi nyeupe basi ilimaanisha kuwa safari yake ni nzuri....na kama cku hiyo akiikuta ina rangi nyekundu au nyeusi basi hasafiri maana safari hiyo itakuwa na mkosi....

Kuna uzushi mwingine kuwa eti hata kile kifimbo chake kilikuwa ni maalumu kwa ajili yake tu na wasimuliaji wakaenda mbali zaidi kwa kusema kuwa ipo walikuwa mkutanoni huko Arusha na baada ya mkutano kumalizika akakisahau mezani kile kifimbo watu wakajaribu kukiiba lakin kikagoma kung'oka pale mezani!!

Na watu wakazidi kudai kwamba eti hata kushinda kwa ile vita ya kagera kulichangiwa kwa kiasi kikubwa na zile kamati zake za ufundi........kuna hayo na madai mengine mengi tu sasa mi binafsi cjafahamu lolote ktk hayo kuna anaejua zaidi?

Kwenye moja ya speeches zake alisema wazee walimpeleka makaburini usiku na akaruka sijui nini lakini alisema wakati yote hayo yanaendelea alikuwa Mkatoliki na ile ilikuwa ni kuwaridhisha wale wazee!!!
 
Huo wote ni uzushi tu. Mwalimu hakuwa na tabia za aina hiyo. Mwalimu alikuwa Mkristo Mkatoliki safi. Anaweza kuwa na upungufu wake, lakini kiimani alikuwa timamu kweli kweli. Lakini pia aliheshimu sana mila za asili.

Nakumbuka alishiriki maadhimisho ya mila za Kizanaki kama Wazanaki wengine. Alifanya hivyo kwa kuamini kuwa pamoja na dini za kimapokeo, bado Waafrika wana mila nzuri zinazopaswa kuenziwa. Huyo ndiye Mwalimu.

ukatoliki si ukristo, usipotoshe watu.
 
Tunapo comment,tuseme kweli daima,"Msema ukweli ni Mpenzi wa MUNGU".Sasa kwanin baadhi yetu tunaandika mambo ambayo ukibanwa kwenye 18,Kwamba hebu thibitisha! hatuwezi?.Kama huna uhakika sema sijui,utakuwa mtu mwema kuliko kusema eti,Nasikia walisema;akina nani sasa?. TUBADILIKE.

lisemwalo lipo!
 
Unashangaa nini Mwl.J.K.Nyerere kuwa na kifimbo? Sishangai watu kama yeye hawana kifimbo bali mikufu na pete za jini nk!
 
"Akili ya kuambiwa changanya na ya kwako" -Jakaya Kikwete
 
Nafikiri wote waliochangia kuthibitisha Mwalimu Nyerere alikuwa mchawi inaonyesha ni jinsi gani walivyo wachawi na wenye kuukubali ushirikina kwa asilimia zote.
Na ndio wanaopinga serikali isipitishe sheria ya kukataza waganga wa kienyeji kwani ndiyo Mungu wao.
 
Zamani tunasadikishwa kuwa yule Mzee wetu JK wa kwanza (Mungu amlaze pema peponi) ,alikuwa ni mtaalamu sana wa hizi kamati za ufundi wa mambo ya asili ya mwafrika (uchawi).....

Zipo hadithi mbali mbali tulizokuwa tunasimuliwa kuhusu yeye kwamba:- alikuwa na saa/rada (vyovyote iwavyo) kila alipokuwa anataka kusafiri anakwenda kuiangalia, akikuta ina rangi nyeupe basi ilimaanisha kuwa safari yake ni nzuri....na kama cku hiyo akiikuta ina rangi nyekundu au nyeusi basi hasafiri maana safari hiyo itakuwa na mkosi....

Kuna uzushi mwingine kuwa eti hata kile kifimbo chake kilikuwa ni maalumu kwa ajili yake tu na wasimuliaji wakaenda mbali zaidi kwa kusema kuwa ipo walikuwa mkutanoni huko Arusha na baada ya mkutano kumalizika akakisahau mezani kile kifimbo watu wakajaribu kukiiba lakin kikagoma kung'oka pale mezani!!

Na watu wakazidi kudai kwamba eti hata kushinda kwa ile vita ya kagera kulichangiwa kwa kiasi kikubwa na zile kamati zake za ufundi........kuna hayo na madai mengine mengi tu sasa mi binafsi cjafahamu lolote ktk hayo kuna anaejua zaidi?
Kama una imani haba utayumbishwa sana maishani mwako.
 
Yule mzee noma sana kile kifimbo sijui karidhi nani yaani kifimbo toka enzi za ujana mpaka anazeeka hakiachi kina siri gani dwaah hataree
 
Zamani tunasadikishwa kuwa yule Mzee wetu JK wa kwanza (Mungu amlaze pema peponi) ,alikuwa ni mtaalamu sana wa hizi kamati za ufundi wa mambo ya asili ya mwafrika (uchawi).....

Zipo hadithi mbali mbali tulizokuwa tunasimuliwa kuhusu yeye kwamba:- alikuwa na saa/rada (vyovyote iwavyo) kila alipokuwa anataka kusafiri anakwenda kuiangalia, akikuta ina rangi nyeupe basi ilimaanisha kuwa safari yake ni nzuri....na kama cku hiyo akiikuta ina rangi nyekundu au nyeusi basi hasafiri maana safari hiyo itakuwa na mkosi....

Kuna uzushi mwingine kuwa eti hata kile kifimbo chake kilikuwa ni maalumu kwa ajili yake tu na wasimuliaji wakaenda mbali zaidi kwa kusema kuwa ipo walikuwa mkutanoni huko Arusha na baada ya mkutano kumalizika akakisahau mezani kile kifimbo watu wakajaribu kukiiba lakin kikagoma kung'oka pale mezani!!

Na watu wakazidi kudai kwamba eti hata kushinda kwa ile vita ya kagera kulichangiwa kwa kiasi kikubwa na zile kamati zake za ufundi........kuna hayo na madai mengine mengi tu sasa mi binafsi cjafahamu lolote ktk hayo kuna anaejua zaidi?

wewe mwenyewe umesema ''kuna uzushi'' sisi tuseme nini?
 
Back
Top Bottom