Hizi tabia zikome huku MMU haraka

Hizi tabia zikome huku MMU haraka

😀😀 duuuh nazidi kufurahi tu nyie endeleni
 
Kwakweli wanaboa,kutwa kuwasema wnawake utadhan wao ni watakatifu sn.
 
[5*] na wanaume wanaowadanganya wanaume wenzao wasiwape wapenzi wao pesa mkome tena mkome kabisa... uchoyo wenu uishie huko huko.

Duh! Mchagga utamjuwa tu, hata ingekuwa hujajiita miss chagga kwa hiyo comment ungejulikana kuwa ni mchagga tu.
 
Last edited by a moderator:
Hii tabia ikome haraka.

[*]
Tabia ya watoto wadogo kuingilia mada za watu wazima ikome, subirini ikifika wakati wako utachangia, acha kujikomaza, ka jogoo anayejifunza kuwika, anawika hata saa 7 mchana.

hahahahahahaha....... na kuanzisha mada za kitoto
 
Wewe si ndiye ulikuwa unanilazimasha nikutongoze!!?


Dogo naona unahamu nikuvuruge ili nipate ban, Halafu acha kabisa kudhani kila mtu mtoto mwenzio, ukiendelea kunifatafata nitakuvuruga ndani ya second 2 unaweza kuhisi umekanyagwa na buldoza, wewe endelea na ujinga wako.
 
Hahahaaa et ubabe wa kumnyima mwenzako papuchi lol!wapi mamafacebook?
 
Pesa ni muhimu sana kuwa nazo lakini kuna njia zake nyingi sana za kuzipata kihalali kabisa. Sijawahi kuhongwa na mwanamme maisha yangu yote na wala haitatokea.

usituambie gozi liliokota dodo kwenye mchongoma!
Ila uwepo wako unahitajika sana humu pia,kutibu Maradhi ya Moyo na Utu!
 
Dogo naona unahamu nikuvuruge ili nipate ban, Halafu acha kabisa kudhani kila mtu mtoto mwenzio, ukiendelea kunifatafata nitakuvuruga ndani ya second 2 unaweza kuhisi umekanyagwa na buldoza, wewe endelea na ujinga wako.

Yaani jukwaa limevamiwa na watoto basi ni tafrani tupu!! Mtu anakurupuka huko anachocomment unajua tu huyu kama kafikisha 15 ni bahati yake, wanakera hatari.
 
Back
Top Bottom