Hizi tabia zikome huku MMU haraka

Hizi tabia zikome huku MMU haraka

Hahaha eti mke wangu anajamba sana...jf 4 life
 
full kuahibishana.....et mme wangu jogoo wake hawiki naomben ushaur
 
Wew nawe nilikutafuta uongeze nyama sijui ulikuwa wapi?? Nimekuja kushtuta miss chagga katika ubora wake, nikasema loh!!! Niliisahauje!!!!

Nilikuwa kuprojekti, sasa wewe cha msingi hivyo unakisahauje!!!
 
Last edited by a moderator:
mmh! ila sijaiona inayonihusu me ni kijana mwema
 
Hahaaa nimependa no 3.. ila si anaomba ushauri?? Ukiona adi mtu kaleta tatizo lake huku ujue kavumilia kachoka..
 
Apologise lady binafsi nakukubali ila unaonekana umepanic why umetendwa nn?
 
nimecheka eti jogoo anajifunza kuwika anawika saa saba mchana
 
Apologise lady binafsi nakukubali ila unaonekana umepanic why umetendwa nn?

Mmmhm!!! Kwani waliotendwa ndio wanapanic???

Nina amani kuliko unadhani.


Vipi ndege kishaangukia kiotani mwako???
 
Back
Top Bottom