Hizi tabia zikome huku MMU haraka

Hizi tabia zikome huku MMU haraka

Haya sawa nimekuelewa mke mwenzangu,

Basi hebu toka haraka kwenye uzi wangu na popote ukiniona pita mbali mita 50 mbele.

Wacha nitumikie taifa, sina muda wa kuja kukujibu wew ambae hata mb hadi uunganishwe unakuja kujibizana na wanawake watafutaji.
Siyo kulitumikia Taifa sema
Ukasake mabwana kwa vile mtaani umeshaharibu kwa tabia zako chafu za kujiuza. Umeona Jf ndiyo pa kupatia bwana!!?
 
Nimeachana nako, naona kanahasira ya watu kukakaushia.
IBRA 87 mdoga wangu yupo, ngoja nimwite akuje alipe deni.

Zile milioni ngapi za siku ile ulizoongelea si nilikuambia hazitofika!! Aliyeyuka nazo hivi hivi!!
 
Last edited by a moderator:
Stress za kukataliwa mchezo!! Nyuzi 3 za kusaka zote holaaaa, hahahaaaa anatafuta wa kumalizia stress zake, achana nae.

Umenionea wapi ibra87 namdai ujue.

Kuna mwamke anayeweza kukataa mwanaume kwa dunia ya leo kweliii. Wanawake sasa ndo mmegeuka watongozaji. Tena mnatongoza kwa nguvu.
 
Last edited by a moderator:
Utaabdika mitusi yoote uijuayo. Lakini ukweli wako nimekupa. Acha kulazimisha wanaume wakutongoze. Tabia yako chafu sana.

Unajitahi kunichafua lakini watu na nyota zetu, hata unipake mavi bado nitanukia kama waridi, usipoteze muda wako
 
Zile milioni ngapi za siku ile ulizoongelea si nilikuambia hazitofika!! Aliyeyuka nazo hivi hivi!!

Jamani jamani jana nimemuuliza kasema zilifika,

Niko hapa namsaka aje ajibu tuhuma.
 
Unajitahi kunichafua lakini watu na nyota zetu, hata unipake mavi bado nitanukia kama waridi, usipoteze muda wako
Nashukuru umekuwa mpole. Si ulijifanya kuja kwa mitusii!!? Unapanic kwa kuambiwa ukwelii!!? Jifunze kuongea na watu. Utaumbuka
 
Hazikufika hata senti, sijui aliishia wapi!! Wakati nilimwambia bora yeye asifike ila pesa zifike.

Toa shaka sio muda mrefu atakuja kueleza pesa zilienda wapi?? au ndio maana sikumuona kama siku kadhaaa inawezekana alikuwa anazitumia. kwakweli aje aseme zimetukaje na alikua na nani?
 
Toa shaka sio muda mrefu atakuja kueleza pesa zilienda wapi?? au ndio maana sikumuona kama siku kadhaaa inawezekana alikuwa anazitumia. kwakweli aje aseme zimetukaje na alikua na nani?

Alikuwa na nani walaaaa haina shaka, ila hela tu ndio shida yangu.
 
Back
Top Bottom