Hahahaaaaaaa hiyo nzuri
Last edited by a moderator:
Na mimi nilishapanga tu usingemjibu miss chagga, ningeenda kula ice cream na kunyonya lollipop mlimani city
[5*] na wanaume wanaowadanganya wanaume wenzao wasiwape wapenzi wao pesa mkome tena mkome kabisa... uchoyo wenu uishie huko huko.
Eeeeh sanaa... ila nikiwepo tu mlimani city tehunapenda hio eehh?!!
Kwani wew faragha umeelewaje??? Mweeee!!! Kiswahili hiki mmmh!!!
hiyo no 2 ni kero na inazidi kukuwa kwa kasi sana!!
Wakaka jamani wenye hiyo hulka mkome!
Ngoja nije PM tuongee faragha!
basi sawaHii Koma sasa kwa kila mtu akome(Mkitoa Papuchi tutawapa mkwanja msijali)
uchoyo wa pesaUchoyo wa kitu gani?
Muongozo pliiiz.
Eeeeh sanaa... ila nikiwepo tu mlimani city teh
Kwani pm kuna viti????
basi sawa
[5*] na wanaume wanaowadanganya wanaume wenzao wasiwape wapenzi wao pesa mkome tena mkome kabisa... uchoyo wenu uishie huko huko.
nipo sana tuNakutafuta sikupati.....
wiki hii sina vocha naomba laki tano ya vochaNiombe nikupe....