Apologise lady
JF-Expert Member
- Sep 16, 2013
- 5,980
- 3,115
- Thread starter
- #141
Yaani jukwaa limevamiwa na watoto basi ni tafrani tupu!! Mtu anakurupuka huko anachocomment unajua tu huyu kama kafikisha 15 ni bahati yake, wanakera hatari.
Yaani atoto mamito huyu mtoto kweli nitamvuruga, kama anamihemko ya kuvunja ungo basi nitakatuliza.
Kalinitukana j4 nikaamua kukaacha ila naona kanataka kunipanda kichwani.
Last edited by a moderator: