ibra87
R I P
- Jul 22, 2015
- 5,614
- 5,363
Yeah pesa kwanza mengine baadae
Micng u my hny
Yeah pesa kwanza mengine baadae
Dada ananitenga siku hizi ndio maana huniona nauguza MajerahaNimemwita naona anajipanga chakueleza.
Nimemwita naona anajipanga chakueleza.
Micng u my hny
Khaaaah! Hivi umemuona kaja hata hatoi maelezo hela kapeleka wapi!!
hiyo no 2 ni kero na inazidi kukuwa kwa kasi sana!!
Wakaka jamani wenye hiyo hulka mkome!
Huyo komaa nae aseme alipeleka wapi, kama vipi afanye muamala mwingine fasta.
Pesa Kwangu Haikauki Hivi Ushawahi kuona Bahari Ikikauka?Kwakweli ni disaster, kama zimepotea atafute tu zingine fasta alete
Pesa Kwangu Haikauki Hivi Ushawahi kuona Bahari Ikikauka?
Pesa nilimpelekea kwake lakini nikakuta Viatu Vya Kiume mlangoni nikaamua Kugeuka na Pesa Yangu
duh basi hongera sana mi natafuta kihalali na kuhongwa pia nataka aiseePesa ni muhimu sana kuwa nazo lakini kuna njia zake nyingi sana za kuzipata kihalali kabisa. Sijawahi kuhongwa na mwanamme maisha yangu yote na wala haitatokea.
ha ha haha watazimiasafi sana.....! tena mkome mkome kbs. na mtoe pesa kwa wapenzi wenu cc tule khaaaaa
duh basi hongera sana mi natafuta kihalali na kuhongwa pia nataka aisee
MankaM wapi wewe??????? umefugwa nini siku hizi????nzuri hii Apologise lady
Khaa!! Na tabia ya kuleta uzi mrefu wa kuponda wanaume TU nayo IKOME