Rohombaya
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 13,080
- 10,436
Tukitia mgomo miezi miwili tu hapa hospitali zote zitajaa wagonjwa wa ugonjwa wa kucheka :glasses-nerdy:We nawe, nani anawaponda wanaume khaa!!!
Tukitia mgomo miezi miwili tu hapa hospitali zote zitajaa wagonjwa wa ugonjwa wa kucheka :glasses-nerdy:We nawe, nani anawaponda wanaume khaa!!!
nipo sana tu
[5*] na wanaume wanaowadanganya wanaume wenzao wasiwape wapenzi wao pesa mkome tena mkome kabisa... uchoyo wenu uishie huko huko.
sawa mkuuuNa mkome kuambizana twende tukamchune flan hela hatuziokot
Chagua loasaa
jaman wakaka tunanyanyaswa sana siku hizi:sad::sad::sad: