Apologise lady
JF-Expert Member
- Sep 16, 2013
- 5,980
- 3,115
- Thread starter
- #61
Haya sasa ......... Weken picha ngum watu mnawachanganya kwa Avatar izo na wengine wakisomatu michango yako unamvuta anajikuta keshakupm
Ubabe sasa ndio kidogo siuelewi unatokeaje wakati waweza tu kumpuuza --- Ukipenda lig kidogo itakusumbua
Picha ngumu ndio zipi!??
Ubabe mtu anakuja pm na kuanza kutaka namba ya sim loh!!!