Mkuu tumeubwa na haya. Wanasema aibu zikigawiwa bure, wengine hawana aibu. Kwa mfano kujitoa ufaham kwamba inatakiwa upambanie maisha yako hufikirii.
Huna plan yoyote ni aibu miaka inasonga, fikiria una 37-8 hufikirii familia yako, utaona lini mwanao wa kwanza atakuwa na mwaka wewe una 40! Hufikirii. Huyu shemeji lazima uhoji ananini?