Hizi tabia hazivumiliki

Kwanini uliamua kuoa familia za kimasikini ?.
 
Uko n roho safi sana ila kubolesha roho yako fungua shamba l kilimo cha mboga mboga na kufuga kuku. Peleka yy uko shamba sw.
Kazi ni kipimo cha utu

Wengine kwenye maisha huwa hawana malengo, wewe weka malengo. Halafu simamia yeye kutekeleza.
CC: mager6
 
Mkuu yaishe nisamehe πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ yote Kayataka Half american alinambia una kibao cha nazi.
Aje hapa akiri kunambia huu uzushi.
Half american anazingua mkuu..
Sasa mi kibao cha nazi cha nini ndani..
Kwanza mkuu mimi hata vyombo sina acheni mambo yenu..

Serious mi niwe na kibao cha nini mkuu wangu hata sijaoa umri huu niache kumiliki PS et nisumbuke na kibao cha kukunia nazi yaani nikae kabisa nianze kukuna nazi

Wakuu nitakichafua sasa hivi mi najiweza mjue.. hizi zarau ...
Mi kibao cha nazi cha nini kwanza...
Kosugi safari hii umekunya ninapokojoa ngoja am caming
 
Nawewe umemuamini ?
 
Huyo siyo kijana,, ni mzee ,,,, wenzake wenye 35 wana wajukuu...
Aiseee una moyo saana, yaani unalea mtu wa aina hiyo, du!
Rudisha mzigo kwa mama mkwe alioutengeneza la sivyo utaletewa na watoto wa shemeji utawalea muda si mrefu...
Mtu asiyejielewa ni wa kuweka pembeni kwenye hili life la sasa..
 
Dadaake anampoteza, hafikirii na Mimi nashindwa ukimshauri ataona ninanongwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…