Hizi sio ndoto za kawaida

Hizi sio ndoto za kawaida

Mkuu, mara kadhaa nimekuwa nkiota nna bleed ilihali sipo kwenye bleed.. na nkiamka asubuhi najikuta nna dalili zote za kubleed ila sipati bleed..
Yani nmekua nkisumbuliwa pia na tatizo la kukosa hedhi... naweza kukaa miezi hadi minne sjableed.. nmehudhuria sana hospitalini kwa madaktari bingwa wa magonjwa ya kina mama, nmepima kila kitu ila majibu yanakuja npo vizuri tu...
Ndoto hizi zinanitesa sana mkuu nini tafsiri yake😓😓😓
Ulitaka kupigana vita isiyo yako lakini inayohusika nawe kwa namna moja au nyingine
 
Mkuu, mara kadhaa nimekuwa nkiota nna bleed ilihali sipo kwenye bleed.. na nkiamka asubuhi najikuta nna dalili zote za kubleed ila sipati bleed..
Yani nmekua nkisumbuliwa pia na tatizo la kukosa hedhi... naweza kukaa miezi hadi minne sjableed.. nmehudhuria sana hospitalini kwa madaktari bingwa wa magonjwa ya kina mama, nmepima kila kitu ila majibu yanakuja npo vizuri tu...
Ndoto hizi zinanitesa sana mkuu nini tafsiri yake[emoji29][emoji29][emoji29]
Ukishaona hospital imeshindikana ujue ni tatizo la kiroho! Hapo ni Yesu tu ndo anaweza kutatua hilo!huna namna na uwe makini! Usije ishia kwenye nguvu za giza bure wakakuongezea matatizo!

In short unefungwa wewe!

Maisha yako ya kawaida yakoje,I mean uchumi,familia,ndoa nk?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna dada yangu ameota ametumbukia chooni!!!inaamana gani hii ndoto

Sent using Jamii Forums mobile app
Mmh!
Kwny ulimwengu wa roho wa giza washafanya yao tayari,Mungu anamsemesha kinachoendelea, Ayubu 33:14-17...
Choo alichotumbukia ni cha wapi? Nyumbani au?
Alikuwa na nani?
Kwenye ndoto kuna vitu vingi watu huwa wanaviacha wanasema Yale matukio yaliyowashtua tu!

Na hapo kuna...
Roho ya mauti
Kukosa kibali(si unajua kinyesi...)

Anatakiwa afanye maombi ya kutoka huko alikotumbukia!
By the way,maisha yake ya kawaida yapoje?

*kumbuka mwisho wa ndoto ndo hali halisi ilivyo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee kuna siku niliwahi kuota ndoto mdudu kaniingia sikioni na nilipikuja kuamka mwezi mzima sikio lilinisumbua saana lilikua likiuma mnooo na mpaka nikawa nahisi kuna kitu kimeniingia kweli. Ila likaja kutulia mpaka leo sikumbuki ni nini kilitokea kwenye ndoto ile Mshana Jr[/USER]

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua nimekuja jua kuwa watu wengi hasa wakristo hawajui kuwa 'ndoto'ni mlango! Mungu huwa anautumia kusema na watu na shetani anautumia kupanda vitu vyake km magonjwa,uharibifu,hata kufanya maagano nk.

Ss km hapo we unafikiri ilikuwa ndoto lkn ilikuwa kitu halisi kwny ulimwengu wa roho,kuna kitu kiliingia kweli ndo maana ulipoamka sikio lilikusumbua,sijui Mungu alikusaidia tu kupona au vip!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mshana Jr ndoto ni uongo na kuamini kisichokuwepo sawa na utabiri wa nyota kwa nini tuendelee kutoa maelezo ya jambo lisilo na uhalisia au just for coincidence in real life

Ukiamini ndoto unaamini hakuna Mungu
Unasoma biblia? Yaani Mungu aseme kipo we useme ni uongo?

Soma habari za Yusufu,Daniel,Nebkadreza,Farao,Suleiman,Yusufu aliyemuoa Marian aliyemzaa Yesu soma maishabya Yesu kabla hajazaliwa mpk kuzaliwa! Ipo mifano mingi!

Ndoto ni uhalisia sio uongo!
Ila tu ndoto ina vyanzo ,na kwenye vyanzo hapa ndo shida ilipo!
Vyanzo ,Mungu mwnyewe,Shetani,mawazo/kazi(shughli)nyingi,hali ya kiroho ya mahali unapolala!

Ndoto ni mlango ambao Mungu anautumia kusema na mwanadamu!
Ayubu 33:14-17

Na mwenye kufasiri ndoto ni Mungu mwenyewe,kwa uweza wa Roho Mtakatifu! Yaani kuna watu waliopewa hiyo karama ya kufasiri Mungu sio kila mtu wengine watakudanganya tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mshana nasumbuliwa na hizi ndoto
1.kuota mara kwa mara nipo shule ya msingi nafanya mtihani na classmates wenzangu ambao nilisoma nao miaka zaidi ya 15 iliyopita wakati tayari nmeshamaliza chuo.
2.Kuota nakula vyakula mbalimbali ila si nyama
3.Kuota nakimbizwa na Simba,au mtu(watu) wenye hasira kali
4. Mara kadha natokewa na rafiki ambaye sasa ni marehemu.
5.Mara nyingi naota nipo chini ya mwembe mkubwa nikiwa na rafiki zangu wa utotoni,tukiwa tunachuma maembe. Wakati mwingine tukiwa juu ya mti Simba hutokea chini ya mti na kuanza kupanda kutufuata,lakini hunifuata hasa mimi mwisho naishia kushituka.
5.Mara chache pia huwa naota niko kwenye uwanja wa vita nikiwa na wanajeshi wengi.

Najitahidi kuomba kila ninapolala lakini baada ya mda inajirudia tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ya kuota upo shule inahitaji maelezo marefu nitairudia!

Ila kuota unakula, anaglia; kwenye hiyo ndoto unakula na kina nani? Mazingira gani,yaani eneo! Hao unaokula nao km wapo,wazima au wamekufa!
Kila kitu kina maana yake! Lzm uangalie hivi vitu!kabla hujatafsiriwa na kupewa ujumbe uliomo!

Mkuu ukiona inajirudia manaake hujaomba vile inavyotakiwa,hivyo Mungu anairudisha tena,ukiiomba inavyotakiwa utaona unaota umevuka hapo!
*tafsiri ya ndoto na ujumbe ni vitu viwili tofauti!

Lkn %90 ndoto za kula sio nzuri

Pia kuota watu waliokufa Mara nyingi unakuta ni roho ya mauti! Ss mauti sio lazima iwe kufa kimwili inaweza kuwa mauti kwenye maeneo km ya uchumi(biashara,kazi,mahusiano/familia )nk...
-lkn angalia huyo rfk ako marehem anakutokea ukiwa wapi (eneo/mazingira)na anafanya nn akishakutokea?

Hiyo ndoto na watt wenzako,eneo pia unalifahamu? Sbb miti mingine niadhabahu za giza!

Kukimbizwa tu manaake una vita!
Hao watu(mtu) wanaokukimbiza unawafahamu? Wanakukimbiza ukiwa wapi (maeneo)

Simba anawakilisha roho fulani spiritual!
Ndo maana nimesema kuna mengi ya kuangalia yanayotukia kwny ndoto kabla ya kutafsiri tu.

Kumbuka hayo maeneo ndo utapat tafsiri sahihi na ujumbe uliomo kwny ndoto!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niongezee kitu hapo,unapoota ndoto na ukaona umeikumbuka yote,na mara baada ya kuamka inakujia yaani unaikumbuka au kuiwazia,ni kwamba ndoto hiyo ina ujumbe au ishara nzuri au mbaya.Njia iliobora ni kuingia kwenye maombi na kumwambia Mungu,ili kama ishara hiyo sio nzuri akuepushe nayo na kama ni nzuri basi akuongoze ili hiyo ishara itimie.Hili la kuomba linafanya kazi,tena ni vizuri pale unaposhtuka hata kama ni usiku mkubwa zama kwenye maombi,it works believe me,endelea kuombea asubuhi,mchana,usiku mpaka uone kuna utulivu kwenye nafsi yako...
 
Unasoma biblia? Yaani Mungu aseme kipo we useme ni uongo?

Soma habari za Yusufu,Daniel,Nebkadreza,Farao,Suleiman,Yusufu aliyemuoa Marian aliyemzaa Yesu soma maishabya Yesu kabla hajazaliwa mpk kuzaliwa! Ipo mifano mingi!

Ndoto ni uhalisia sio uongo!
Ila tu ndoto ina vyanzo ,na kwenye vyanzo hapa ndo shida ilipo!
Vyanzo ,Mungu mwnyewe,Shetani,mawazo/kazi(shughli)nyingi,hali ya kiroho ya mahali unapolala!

Ndoto ni mlango ambao Mungu anautumia kusema na mwanadamu!
Ayubu 33:14-17

Na mwenye kufasiri ndoto ni Mungu mwenyewe,kwa uweza wa Roho Mtakatifu! Yaani kuna watu waliopewa hiyo karama ya kufasiri Mungu sio kila mtu wengine watakudanganya tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndoto unayoiona kwa mungu kwenda kwa mwanadamu tunauita ufunuo ( ufunuo wa mungu kupitia ndoto)

Ndoto ni jukumu la akili na kila mtu lazima aote ni sawa na akili kufikiri kila mtu lazima afikiri lkn je kila fikra ya akili unapaswa kuiamini? Jibu ni hapana

Ndoto inasaidia akili kufuta au kupunguza kumbukumbu akili na kusaidia kukuza uwezo wa ubongo kutunza kumbukumbu

Ukiamini ndoto ambayo Mungu amekataza unafanya kosa la kuamini utupu sawa na uchawi au mashetani kwa kuwa ni deception ya akili na ukiamua kudecept basi unakuwa unakitu unachokiamini tofauti na Mungu

Kwa hoja yako; tutajie mtu aliyeota kwenye biblia bila maana ya kutaka kufunua jambo kwa Mungu
Baada ya yesu mtu aliyeota ni yohana ili aweze kuandika kitabu cha imani ( ufunuo) ili tupate uhakika wa yatarajiwayo
Je Mungu ndiyo anajipinga ktk biblia? Hapana
Biblia haitoa maana kwa andiko moja au mawili bali ( supra) watu wa sheria wanaelewa; hivyo Muhubiri alisema ni
 
Mkuu, mara kadhaa nimekuwa nkiota nna bleed ilihali sipo kwenye bleed.. na nkiamka asubuhi najikuta nna dalili zote za kubleed ila sipati bleed..
Yani nmekua nkisumbuliwa pia na tatizo la kukosa hedhi... naweza kukaa miezi hadi minne sjableed.. nmehudhuria sana hospitalini kwa madaktari bingwa wa magonjwa ya kina mama, nmepima kila kitu ila majibu yanakuja npo vizuri tu...
Ndoto hizi zinanitesa sana mkuu nini tafsiri yake[emoji29][emoji29][emoji29]
Ulishawahi kupoteza nguo ya ndani? Kwenye ukoo wenu kuna ndugu hampatani? Je kuna rafiki mlishawahi kutofautiana pakubwa?
 
Kuna Dada anavaa baibui jeusi la kuficha sura simjui nimemuota kama Mara mbili

Mara ya kwanza nimeota Niko mgahawani (cafeteria) nakula kaja kakaa kwenye kiti karibu yangu ananiangalia nikampa chakula kila nikimuongelesha aongei ananiangalia tu namuuliza jina yupo kimya

Mara pili niliota nimeenda kwenye jumba bovu nakojoa Mara namuona kwa ukumbini kasimama Mara kaanza kunikimbiza kama anapaa kwenye dirisha anavuka kunifikia mi nikaruka chini kutoka baraza ya hilo ghofu maana ni refu nikasepa ye akaruka huko anapaa kunifuata ila kanikosa
 
Back
Top Bottom