Hizi sio ndoto za kawaida

Hizi sio ndoto za kawaida

Ramark Bible ni kitabu chenye ufunuo wa ki Mungu ndio maana ili ukisome vizuri na kukielewa angalau nusu yake inahitaji miaka mine... Ukiwa mtu wa kudonyoa donyoa tu vifungu kuna mahali hutapaelewa

Jr[emoji769]
Biblia haisomwi kwa mstari au kitabu bali inasomwa pamoja yaani yote,

Kunawakati huko nyuma watu walikuwa wanaota na kutoa tafsiri za ndoto kama sisi leo hasa kule misri na hata wayaudi walipokuwa jangwani hata kaanani lakini walikanywa na katika mafundisho waliyoshika wayaudi ni hili na kwa moyo wa ibada, tazama vitabu vya vingine uliacha vile vinavyoeleza maisha ya misri, jangwani na kaanani awali hayajitokezi na kuzungumzwa katika vitabu vya mbele vilivyotangulia vile vya awali,

Ni kawaida Mungu katika kufundisha kwa historia iliyomo kwenye biblia alibadilisha mafundisho yaani kutoka simple to complex, pia hata ybn sira sura 2:28 wazee wenu wataota ndoto na vijana watapato maono( visio) je ilikuwa inaruhusu ndoto na mbeleni apinge?
Hapana, tujiulize wazee wanaozungzwa ni akina nani? Jibu: manabii na makuhani
Ambao pia Mungu ni mfumo anaoutumia mpaka kwenye kitabu cha Ufunuo kwa kutoa ndoto kwa Yohana ambao leo tunauita ufunuo au ndoto ya kimungu

Biblia hata ukisoma miaka 10 bila uvuvio wa Mungu huwezi elewa lkn isome kwa kicho pamoja na usaidizi wa tamaduni za jamii inayozungumwa( tabia, vitu, mifugo, lugha, circumstances nk ) angalau itakupa mwelekekeo wa mafundisho


Ndoto tumekatazwa kuzitafsiri na kuziami
 
Aisee kuna siku niliwahi kuota ndoto mdudu kaniingia sikioni na nilipikuja kuamka mwezi mzima sikio lilinisumbua saana lilikua likiuma mnooo na mpaka nikawa nahisi kuna kitu kimeniingia kweli. Ila likaja kutulia mpaka leo sikumbuki ni nini kilitokea kwenye ndoto ile Mshana Jr[/USER]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee kuna siku niliwahi kuota ndoto mdudu kaniingia sikioni na nilipikuja kuamka mwezi mzima sikio lilinisumbua saana lilikua likiuma mnooo na mpaka nikawa nahisi kuna kitu kimeniingia kweli. Ila likaja kutulia mpaka leo sikumbuki ni nini kilitokea kwenye ndoto ile Mshana Jr[/USER]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kitu kilifanyika hapo la sivyo sikio lisingekuuma muda wote huo na ungeenda kwa mganga kisha ukapona.. Ungemuamini milele

Jr[emoji769]
 
Mimi nina sijui tatizo au la! Inanitokea kukaa hata miezi mitatu nisiote ila, kuna wakati nikiwa macho naweza pata taswira aidha tukio au vitu flani ambapo hilo tukio baadae linatokea
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Mshana Jr ,saidia Mimi kwenye Hili, ni hivi naweza toka tuu bila mpangilio naweza kutoka ndani kwenda ata nyuma Ya nyumba Nakuta nyoka namuua then narudi ndani, Kama juzi nimesema ngoja niende kwenye mabanda ghafla nakuta Nyoka njiani nikatafuta jiwe cha ajabu sikumwona tena, Kesho yake nimekaa ghafla Nilitoka nikakutana na mwingine mdogo nikamuua, na nikiwaza/kuota/kupiga stori za Nyoka Lazma nikutane nae mzima au aliyeuliwa.....hili nalo vp
 
Alifariki katika mazingira gani? Wakati wa kufariki mlikuwa na mawasiliano ya karibu?
Kuna wakati memory ya kitu fulani huganda na ku stick sehemu moja bila sababu zingine zozote

Jr[emoji769]
Aligongwa na gari mkuu

Kabla hajafariki tulikuwaga tunakutana sana kijiweni kupiga story
 
Mshana Jr ,saidia Mimi kwenye Hili, ni hivi naweza toka tuu bila mpangilio naweza kutoka ndani kwenda ata nyuma Ya nyumba Nakuta nyoka namuua then narudi ndani, Kama juzi nimesema ngoja niende kwenye mabanda ghafla nakuta Nyoka njiani nikatafuta jiwe cha ajabu sikumwona tena, Kesho yake nimekaa ghafla Nilitoka nikakutana na mwingine mdogo nikamuua, na nikiwaza/kuota/kupiga stori za Nyoka Lazma nikutane nae mzima au aliyeuliwa.....hili nalo vp
Hizi sio ndoto haya ni mawasiliano ya kiroho pre-seen incoming events

Jr[emoji769]
 
Kwa maana rahisi una vita kwenye swala la uzao.
mim juzi nimeota nna mimba naumwa uchungu nataka kujifungua lakin mtoto hatoki mara niondoke hospital nikampumzike kisha nikiumwa naaanza kutafuta hospital nyingine huduma hakuna uchungu unaniuma huku damu zikimwagika nikawa natamani iwe ndoto nilivyoshtuka asubuji nilishuruku
Sasa sijui ina maana gani sijui natamani sana mtoto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mshana nasumbuliwa na hizi ndoto
1.kuota mara kwa mara nipo shule ya msingi nafanya mtihani na classmates wenzangu ambao nilisoma nao miaka zaidi ya 15 iliyopita wakati tayari nmeshamaliza chuo.
2.Kuota nakula vyakula mbalimbali ila si nyama
3.Kuota nakimbizwa na Simba,au mtu(watu) wenye hasira kali
4. Mara kadha natokewa na rafiki ambaye sasa ni marehemu.
5.Mara nyingi naota nipo chini ya mwembe mkubwa nikiwa na rafiki zangu wa utotoni,tukiwa tunachuma maembe. Wakati mwingine tukiwa juu ya mti Simba hutokea chini ya mti na kuanza kupanda kutufuata,lakini hunifuata hasa mimi mwisho naishia kushituka.
5.Mara chache pia huwa naota niko kwenye uwanja wa vita nikiwa na wanajeshi wengi.

Najitahidi kuomba kila ninapolala lakini baada ya mda inajirudia tena.


Sent using Jamii Forums mobile app
Aseeh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom