Hizi sio ndoto za kawaida

Hizi sio ndoto za kawaida

Naota sana ndoto za aina hii.kiroho siko vizuri. Kama juzi nimeota niko sehemu kuna watu wengi kama stendi hivi mara akatokea kichaa spidi watu wakawa wanapiga mayowe,kuangalia vizuri ananifwata mimi kwa hasira akanirushia ngumi nikakwepa sasa katika kukwepa nikateleza nikaanguka chini hapo akanipiga 'buti la mbavu' moja nikaokota jiwe akaanza kukimbia...sasa cha ajabu asubuhi naamka mbavu zinauma palepale nilipopigwa ndotoni!
Nishaombewa sana bila mafanikio hadi inafika wakati mtu unakata tamaa hata kanisani siendagi tena!☹
 
Naota sana ndoto za aina hii.kiroho siko vizuri. Kama juzi nimeota niko sehemu kuna watu wengi kama stendi hivi mara akatokea kichaa spidi watu wakawa wanapiga mayowe,kuangalia vizuri ananifwata mimi kwa hasira akanirushia ngumi nikakwepa sasa katika kukwepa nikateleza nikaanguka chini hapo akanipiga 'buti la mbavu' moja nikaokota jiwe akaanza kukimbia...sasa cha ajabu asubuhi naamka mbavu zinauma palepale nilipopigwa ndotoni!
Nishaombewa sana bila mafanikio hadi inafika wakati mtu unakata tamaa hata kanisani siendagi tena![emoji852]
Lazima pakuume haikuwa ndoto tu!
Watu muelewe ulimwengu wa roho ni halisi!
Ndo maana ulipoamka umeona panauma!
Japo umepambana mkuu,una vita!
Pia miguu yako lzm uiombee(haitakiwi kuteleza)
Mkuu usikate tamaa waliokumbea waliomba bila kujua tatizo liko wapi!au pia hawakufikia kiwango kinachotakiwa!
-au waliomba bila maarifa
Sbb kiroho kuna levels!
-Na ukiona umepigwa,umeumwa na kitu au vyovyote vile kwny ndoto ujue kuna mahali mlango uko wazi!adui kapata nafasi ya kupita!
-Lazima ujifunze kuombea lango lako la ndoto!

-Soma zaburi 51 yote(ni toba),tubu tu mwenyewe ,tafuta muda omba!
-zaburi 35 ni ya vita!
-Achilia damu ya Yesu kwenye lango lako la ndoto ili adui asipite,sawa na kutoka 12:11-13!

Na kama bado una maumivu ,Ebrania 24 km sikosei....soma yote kuna habari za damu ya Yesu ya kunyinyuzwa!
Shika eneo ulilopigwa omba,sema' nanyunyiza damu ya Yesu kwny hilo eneo ulilopigwa uone km utaendelea kusikia maumivu!
 
Ulishajaribu kutumia majani ya mkafiri au chumvi?

Jr[emoji769]
 
mara nyingi haijalishi ndoto nnayoota iwe nzuri au mbaya ila mazingira hua lazima yawe kwenye nyumba ambayo tuliishi zamani nikiwa mdogo ila tulikuja kuhama, lakini bado ndoto zangu nyingi lazima mazingira yawe yale hii inamaanisha nini
 
Uko vizur,, Mungu akubariki
 
mara nyingi haijalishi ndoto nnayoota iwe nzuri au mbaya ila mazingira hua lazima yawe kwenye nyumba ambayo tuliishi zamani nikiwa mdogo ila tulikuja kuhama, lakini bado ndoto zangu nyingi lazima mazingira yawe yale hii inamaanisha nini
Bado upo kule kiroho
Au kuna vitu vilifanyika kule kiroho ukashikiliwa!

BTW,mkuu unakuwa unaona upo kule unafanya nini?
 
View attachment 421080Ni usiku mwingine tena tunapojiandaa kupumzika vitandani mwetu (hata kama ni ugenini gesti house au barabarani kuna dakika chache utalala kidogo na kuota)
Ndoto njozi na kuota ni hitaji la kawaida la mwanadamu, shida ipo ni je unaona ndoto za aina gani?

- unaota ndoto za kawaida kutokana na harakati za kawaida za kimaisha kutokana na fikra mawazo matendo na maono?

- Ama la unaota ndoto taarifa au ndoto ujumbe au ndoto maono? Ndoto zenye ujumbe maalum?

- Au je unaota zile ndoto zile ambazo si ndoto bali ni matendo ya giza? Ndoto za
Kuota umelazwa kwenye jeneza
Kuota unazama/unazamishwa baharini
Kuota unakula/unalishwa nyama

Kuota unang'atwa na mdudu na unapata maumivu mpaka asubuhi
Kuota unakimbizwa au kufukuzwa
Kuota umefungiwa kwenye kiota chupa nk
Ndoto zote hizi huwa live mpaka asubuhi au unapostuka na unakumbuka kila kitu saa nyingine hata uchovu maumivu na Ladha....!

Ndoto za namna hii si ndoto za kawaida na huambatana na mambo yako mengi kuharibika! Hizi ni ndoto za kufanyiwa mambo mabaya na watu wabaya
Ukiweza jitahidi kuchunguza ndoto zako leo na siku zijazo utagundua kitu View attachment 421088
Afu ndoto Kama hizo unaziota asubuhi. Mara nyingi ndoto za wakati wa asubuhi huwa zinakuwa za kweli
 
Naota sana ndoto za aina hii.kiroho siko vizuri. Kama juzi nimeota niko sehemu kuna watu wengi kama stendi hivi mara akatokea kichaa spidi watu wakawa wanapiga mayowe,kuangalia vizuri ananifwata mimi kwa hasira akanirushia ngumi nikakwepa sasa katika kukwepa nikateleza nikaanguka chini hapo akanipiga 'buti la mbavu' moja nikaokota jiwe akaanza kukimbia...sasa cha ajabu asubuhi naamka mbavu zinauma palepale nilipopigwa ndotoni!
Nishaombewa sana bila mafanikio hadi inafika wakati mtu unakata tamaa hata kanisani siendagi tena![emoji852]
Leo nimekumbuka kuwapa ushuhuda wa hayo mashambulizi yaliyokuwa yakinitesa.kwasasa niko huru kabisa kwa kuamini na kufuata neno la Mungu linavyosema kuhusu mimi na kuchukua hatua ya imani sawasawa na kuamini kwangu kupitia kusema kwa kurudiarudia na kuomba!

Nilitumia kusoma mara 3 au 7 mistari hii kila mara ninapokumbuka au wakati wa kulala.kisha nilipoizoea ikawa moyoni mwangu kiasi kwamba hofu yote ikaondoka kuwa hakuna kitu kinachoweza kunidhuru kwasababu ninayo ngao yangu masaa 24 ambayo ni Mungu!

Zaburi 4:8
Zaburi 127:1
Zaburi 34:7
Zaburi ya 91 yote
Wakolosai 3:3
Isaya 54:14
1 Yohana 4:4
Wakolosai 1:13
Hesabu 23:23

Hakika siri ni kupanda neno la Mungu ambalo ni mbegu kwenye moyo ambao ni shamba!
 
Hesabu 23:23[emoji817][emoji818]
 
Zaburi 4:8
Zaburi 127:1
Zaburi 34:7
Zaburi ya 91 yote
Wakolosai 3:3
Isaya 54:14
1 Yohana 4:4
Wakolosai 1:13
Hesabu 23:23[emoji817][emoji818]
Samahani naweza nikawa nje ya mada ila naomba kuliza kuna hizi bangili za shaba naskia zina zuia uchawi kwa baadhi ya makabila hasa mikoa ya kaskazini tafadhali nipe uzoefu wako katika hili
 
Mchawi harogi chizi.. Bangi huongeza mwendokasi wa meddula.. Mchawi anadili na mtu normal
 
Nimekuwa nikiota ndoto nipo na kagua madini wakati mwingine nipo migodini na kagua madini kuna wakati naota nipo na madini maxuri pia wakati mwingine madini siyo mazuri sana .... imekuwa ikijirudia kwa kipindi flani flani .....nini manayake?? Mshana Jr
 
Una project kubwa unataka kuzifanya ama unaziwazia lakini kati yake kuna ambazo zina mapungufu ama hazifai
 
Back
Top Bottom