Bishop Hiluka
R I P
- Aug 12, 2011
- 7,150
- 14,730
Hii sio sinema mkuu ni hizi taatifa za habari zinazochukua nafasi siku hizi
Hao waliopiga magoti watakuwa CCM maana wamezoea kujipigisha magoti ovyo....... Huyo Kamanda atakuwa.....
![]()
![]()
Kwani kupiga magoti ni tendo la aibu?Sio tendo la heshima Mkuu Bishop Hiluka Huwezi kumpigia magoti mama yako au baba yako aliye kuzaa?Mh! Aibu naona miye...
Kwani kupiga magoti ni tendo la aibu?Sio tendo la heshima Mkuu Bishop Hiluka Huwezi kumpigia magoti mama yako au baba yako aliye kuzaa?
Wamempigia Magoti Mke wa Rais mam salm Kikwete ni kuonyesha heshima jinsi wanavyomuheshimu mke wa Rasi mkuu Sikonge Si makosa ni moja ya mila na zetu sisi Waafrika kuwaheshimu wake wa Viıngozi wetu.Hao waliopiga magoti watakuwa CCM maana wamezoea kujipigisha magoti ovyo....... Huyo Kamanda atakuwa.....
![]()
![]()
Inategemea huyo Binti akiwa mke wa Rais hutoweza kumheshimu ? Kwa sababu umemzidi Umri? mkuu egentle unajuwa mke wa Rais ana heshima yake pekee.Lakin kumpigia magoti binti uliemzid umri katik nchi ambayo si ya kifalme ni aibu.
Inategemea huyo Binti akiwa mke wa Rais hutoweza kumheshimu ? Kwa sababu umemzidi Umri? mkuu egentle unajuwa mke wa Rais ana heshima yake pekee.
Wamempigia Magoti Mke wa Rais mam salm Kikwete ni kuonyesha heshima jinsi wanavyomuheshimu mke wa Rasi mkuu Sikonge Si makosa ni moja ya mila na zetu sisi Waafrika kuwaheshimu wake wa Viıngozi wetu.
![]()
Mbona Rais Obama amuinamia Mfalme Abdullah wa saudia Arabia.Itakuwa hao wanachama wa CCM kumpighia Magoti mke wa Rais Mama salma Kikwete? acha fikira potufu jamani.