monotheist
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 878
- 1,564
Naomba mnisanue kabla sijayakanyaga
Jichanganye.... Kuna wale wanauxa eti electric bikes bei kitongo na dsm kote wanatuma. Jichanganye utume ela utaelewa. Matapeli siku hizi wanalipia hadi sponsored adsNaomba mnisanue kabla sijayakanyagaView attachment 3456162View attachment 3456163View attachment 3456164
Kampuni ya simu inaitwa Huawei hapo wanaita simu huawei huoni ushapigwan
Huawei na siHuwawei
Ahaa inamaana hizi ni kopy maana nilifika hadi kkoo jamaa anazo nyingi tuUtaibiwa vibaya sana mkali. Huawei Pura 70 ni Mil 1.5 used, Pura 70 Pro Mi 2 kwenda juu, na Pura 70 Ultra ni Tsh Mil 3
Jamaa wapo kkoo nilifika hadi kkooo wanazo kweli nahisi labda ni copy maana bei ni kitonga sanaJichanganye.... Kuna wale wanauxa eti electric bikes bei kitongo na dsm kote wanatuma. Jichanganye utume ela utaelewa. Matapeli siku hizi wanalipia hadi sponsored ads
huwawei ni brand ya SumbawangerSimu org ni Huawei sio huwawei
Ulipo zishika ulihisi umeshika kitu premium au fambaAhaa inamaana hizi ni kopy maana nilifika hadi kkoo jamaa anazo nyingi tu
Naomba mnisanue kabla sijayakanyagaView attachment 3456162View attachment 3456163View attachment 3456164
Kuna mahali nimesoma ya kwamba matapeli huwa wanawekaga makosa madogo ya uandishi au kitahajia (mfano. Huwawei badala ya Huawei) ili kutenga wajinga na werevu. Mwerevu akiona tu hiyo anaendelea na shughuli zake; hata hajiangaishi na hilo chapisho, ila yule mwingine.Naomba mnisanue kabla sijayakanyagaView attachment 3456162View attachment 3456163View attachment 3456164