Hizi sehemu ukinunua chipsi lazima ujitafune vidole

Hizi sehemu ukinunua chipsi lazima ujitafune vidole

Hizi ndio sehemu zangu bora nilizokula chipsi nikaenjoy kwa mwaka huu 2020.
1. American chips-- kinondoni
2. Kwa mpemba-- k/nyama
Haya leo tutajiane sehemu zingine bora ambazo ukigonga kiepe lazima utafune kidole kwa bahati mbaya ili 2021 tutembelee

UPDATES
machimbo ambayo hupaswi kukosa mwaka 2021
-mwedi chicken chips:arusha ngarenaro
-sele bonge : Morocco
-kwa bonge : corner bar
-kwa shirima : upanga
- kwa hamijei : k/njama
-kwa njoroge : mzumbe university
-kwa masangati : temeke
Oya wewe ni pisi kali
 
Babumawe kwani we ni shoga? Mbona unapenda sana vyakula vya kishoga shoga, mwanamme anayejitambua anakula chips kweli huku akirembua mimacho mbele za wanaume wenzake? Tena we unakula chips huku unajilamba vidole kwa tabasamu, unataka nini kwetu?
 
Back
Top Bottom