Hizi sehemu ukinunua chipsi lazima ujitafune vidole

Hizi sehemu ukinunua chipsi lazima ujitafune vidole

Za kupika mwenyewe sio tamu ww
Afu wengi wanasema hvo kuwa chips za kupika mwenyewee hazinogi,
Ila mie eti kwenda sehemu kuagiza chips, sina uwezo huo sjui naonaje, na nilivokua na aibu swez kabisaaaah.
 
Dah kwahiyo wote humu mnaushi dar sisi wa mikoani hayo mambo hatujuigi kabisa
 
Afu wengi wanasema hvo kuwa chips za kupika mwenyewee hazinogi,
Ila mie eti kwenda sehemu kuagiza chips, sina uwezo huo sjui naonaje, na nilivokua na aibu swez kabisaaaah.
Sasa unaona aibu kuagiza chips je ule mchezo wa kwenye 6×6 unauweza kweli ww
 
Sasa unaona aibu kuagiza chips je ule mchezo wa kwenye 6×6 unauweza kweli ww
Sasa ule mchezo c tunakua wawili tyuuuh, af ndan na ni sehem ya faragha huwa nakua comfortable haswaaah, game linapigika mubashara kabisaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hizi ndio sehemu zangu bora nilizokula chipsi nikaenjoy kwa mwaka huu 2020.
1. American chips-- kinondoni
2. Kwa mpemba-- k/nyama
Haya leo tutajiane sehemu zingine bora ambazo ukigonga kiepe lazima utafune kidole kwa bahati mbaya ili 2021 tutembelee

UPDATES
machimbo ambayo hupaswi kukosa mwaka 2021
-mwedi chicken chips:arusha ngarenaro
-sele bonge : Morocco
-kwa bonge : corner bar
-kwa shirima : upanga
- kwa hamijei : k/njama
-kwa njoroge : mzumbe university
Unakula chakula kibovu (chips) mpaka unajipiga vidole, kwa kweli utakuwa na shida.
 
Hakuna mkoa ukakosa kiepe wewe ile ni world wide
Sijasema haipo ila sio chakula pendwa huku kwetu kwanza ni kitu cha kawaida sana huku sasa nashangaa mwanaume unajusifu kula chips mpk urambe vidole dah enewei tunatofautiana
 
Utakuwa unaona aibu kutanua miguu wewe
Sasa ule mchezo c tunakua wawili tyuuuh, af ndan na ni sehem ya faragha huwa nakua comfortable haswaaah, game linapigika mubashara kabisaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sijasema haipo ila sio chakula pendwa huku kwetu kwanza ni kitu cha kawaida sana huku sasa nashangaa mwanaume unajusifu kula chips mpk urambe vidole dah enewei tunatofautiana
Hivi unajua chips ni aina gani ya chakula???
 
Sasa ugali na chipsi tofauti yake nini au haukupitia biology wewe
😅 😅 Achana na theory za Biology kwa ground mambo ni tofauti. Piga chipsi zako halafu kapige shoo, then siku nyingine piga ugali halafu kapige shoo, utaona tofauti ya wazi kabisa!
 
Back
Top Bottom