Hizi sehemu ukinunua chipsi lazima ujitafune vidole

Hizi ndio sehemu zangu bora nilizokula chipsi nikaenjoy kwa mwaka huu 2020.
1. American chips-- kinondoni
2. Kwa mpemba-- k/nyama
Haya leo tutajiane sehemu zingine bora ambazo ukigonga kiepe lazima utafune kidole kwa bahati mbaya ili 2021 tutembelee

UPDATES
machimbo ambayo hupaswi kukosa mwaka 2021
-mwedi chicken chips:arusha ngarenaro
-sele bonge : Morocco
-kwa bonge : corner bar
-kwa shirima : upanga
- kwa hamijei : k/njama
-kwa njoroge : mzumbe university
Hapo ukinunua inabidi uwe na Bima kwa ajili ya matibabu au mimi sijaelewa
 
Sele weeeeeee[emoji39][emoji39][emoji39]

Kingsmann
IMG_20201219_095732.jpg
 
Hizi ndio sehemu zangu bora nilizokula chipsi nikaenjoy kwa mwaka huu 2020.
1. American chips-- kinondoni
2. Kwa mpemba-- k/nyama
Haya leo tutajiane sehemu zingine bora ambazo ukigonga kiepe lazima utafune kidole kwa bahati mbaya ili 2021 tutembelee

UPDATES
machimbo ambayo hupaswi kukosa mwaka 2021
-mwedi chicken chips:arusha ngarenaro
-sele bonge : Morocco
-kwa bonge : corner bar
-kwa shirima : upanga
- kwa hamijei : k/njama
-kwa njoroge : mzumbe university
Hahahaha......wanaume wa Dar bwana! Jianaume lizima linasifia chipsi kweli? Ndo maana maisha yenu hayaendi bila vumbi la Kongo. Shituka wewe, acha vyakula vya dara zako uwe mwanaume kamili!!!
 
Usiwe pimbi wewe unataka kila siku watu wale maugali tu
 
Hizi ndio sehemu zangu bora nilizokula chipsi nikaenjoy kwa mwaka huu 2020.
1. American chips-- kinondoni
2. Kwa mpemba-- k/nyama
Haya leo tutajiane sehemu zingine bora ambazo ukigonga kiepe lazima utafune kidole kwa bahati mbaya ili 2021 tutembelee

UPDATES
machimbo ambayo hupaswi kukosa mwaka 2021
-mwedi chicken chips:arusha ngarenaro
-sele bonge : Morocco
-kwa bonge : corner bar
-kwa shirima : upanga
- kwa hamijei : k/njama
-kwa njoroge : mzumbe university
Kwa masangati temeke
 
Back
Top Bottom