Hizi sehemu ukinunua chipsi lazima ujitafune vidole

Hizi sehemu ukinunua chipsi lazima ujitafune vidole

Kuna wanaume watakuja kwenye huu uzi wataponda kama hawalagi chips kumbe wanajichukulia machimbo mapya
Ndioooo, tunakula ila hatujisifii kama wanaume wa dar. Sisi wengine tunaona kiburudisho kama soda tu.
 
Mwanaume unakula chips[emoji848][emoji848][emoji15][emoji15]

Ila wanaume wa dar mweeh[emoji1751][emoji1751]
 
Hizi ndio sehemu zangu bora nilizokula chipsi nikaenjoy kwa mwaka huu 2020.
1. American chips-- kinondoni
2. Kwa mpemba-- k/nyama
Haya leo tutajiane sehemu zingine bora ambazo ukigonga kiepe lazima utafune kidole kwa bahati mbaya ili 2021 tutembelee

UPDATES
machimbo ambayo hupaswi kukosa mwaka 2021
-mwedi chicken chips:arusha ngarenaro
-sele bonge : Morocco
-kwa bonge : corner bar
-kwa shirima : upanga
- kwa hamijei : k/njama
-kwa njoroge : mzumbe university
-kwa masangati : temeke
Hapo kwa njoroge mzumbe University so ndio kule upande wa mzumbe secondary kwenye mabanda

Aisee niliwahi kula kiepe kitamu way back 2010 nikiwa nimenda kupiga study camp pale mzumbeni kwa washkaji
 
Mwanaume unakula chips[emoji848][emoji848][emoji15][emoji15]

Ila wanaume wa dar mweeh[emoji1751][emoji1751]
Chipsi mbona chakula kizuri tu mama kwani kina tatizo gani
 
Hapo kwa njoroge mzumbe University so ndio kule upande wa mzumbe secondary kwenye mabanda

Aisee niliwahi kula kiepe kitamu way back 2010 nikiwa nimenda kupiga study camp pale mzumbeni kwa washkaji
Hukohuko
 
Mi last month hamn kitu pale

Mimi ni mtu wa misele sana ,chakula changu huwa ni Chips ,ugali au wali wa mitaani huwa sipendagi....American chips nilivyokula sijaona kipya kabisa wanazidiwa hata na wa uswahilini chips vumbi.
 
Hizi ndio sehemu zangu bora nilizokula chipsi nikaenjoy kwa mwaka huu 2020.
1. American chips-- kinondoni
2. Kwa mpemba-- k/nyama
Haya leo tutajiane sehemu zingine bora ambazo ukigonga kiepe lazima utafune kidole kwa bahati mbaya ili 2021 tutembelee

UPDATES
machimbo ambayo hupaswi kukosa mwaka 2021
-mwedi chicken chips:arusha ngarenaro
-sele bonge : Morocco
-kwa bonge : corner bar
-kwa shirima : upanga
- kwa hamijei : k/njama
-kwa njoroge : mzumbe university
-kwa masangati : temeke
Sele bonge ni funga kazi. Chips tamu balaa.
 
Back
Top Bottom