Hizi sehemu ukinunua chipsi lazima ujitafune vidole

Mwanaume unakula chips[emoji848][emoji848][emoji15][emoji15]

Ila wanaume wa dar mweeh[emoji1751][emoji1751]
Na anakula hizo chips zilizojaa grease/mafuta ya transformer huku akijisifia kuwa ni mpenzi mkuu wa chips na anakula na kujilamba vidole huku akikodoa mimacho kwa wanaume wenzake kama afanyavyo Babumawe. Wanaume wa Dar kwa kweli ni shida tupu, ukitaka kuwajuwa kiundani hautawasalimia kuhofia shombo la mavi.
 
Acha maneno yako ww sasa unataka mtu apende unachokipenda wewe kila mtu ana uhuru wake kwani si kila mtu anatafuta hela yake
 
Aunt Babumawe we kula tu hizo chips zilizokaangwa na mafuta ya transformer, usije kutulaumu baadaye au kutoa tenda ya kutaka mwanamme wa kukushughulikia kunako 6 kwa 6 hapo baadaye.
 
Na anakula hizo chips zilizojaa grease/mafuta ya transformer huku akijisifia kuwa ni mpenzi mkuu wa chips na anakula na kujilamba vidole huku akikodoa mimacho kwa wanaume wenzake kama afanyavyo Babumawe. Wanaume wa Dar kwa kweli ni shida tupu, ukitaka kuwajuwa kiundani hautawasalimia kuhofia shombo la mavi.
Haaahaaaa haaahaaa
 
Mleta mada ukimuuliza dazeni ina vitu vingapi anaweza asikupe jibu lkn muulize sahani ya chips ina viazi vingapi jibu atakupa fasta.
 
Back
Top Bottom