Hizi sehemu ukinunua chipsi lazima ujitafune vidole

Hizi sehemu ukinunua chipsi lazima ujitafune vidole

Lipo mkuu hasa kwenye hotel za kisomali ,Kama mpo wawili watatu mnajuana mnaweza agiza Sinia moja , na mkeka wenu wa kukaa mnapewa,
Hoteli za kisomali ndo zipi
 
Mwanaume unajilamba vidole kwa ajili ya viazi..daahhh..Dar mna shida
 
Hebu tujadili chimbo za chips, tusitoke nje ya mada lol.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi syo mpenzi wa viepe ila nmezurula sana na watu wa kupenda chips
Ngoja nkupe machimbo kwa barafa ilala,
Kualalumpar sinza,kwa albabu kino pale jengo la tarimba.....
American chips ahh ilikuwa zamani sahv naona kama kapwaya
Chimbo lingine msasani mitaa ya eddo,mbezi beach kwa zena (kwa mpemba)
Duh list ndefu

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Tanxieeeh, ila me sio mpenz wa kununua chips machimboni, huwa napika mwenyeweeh.
 
Back
Top Bottom