Hizi sehemu ukinunua chipsi lazima ujitafune vidole

Hizi sehemu ukinunua chipsi lazima ujitafune vidole

Sasa ule mchezo c tunakua wawili tyuuuh, af ndan na ni sehem ya faragha huwa nakua comfortable haswaaah, game linapigika mubashara kabisaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1316]
 
Hadi sehemu za chips Tamu mnakariri
 
Nakusubiri this weekend,
Miss you zaidi sema aliyekufichaaaaaa usimuache.
[emoji8][emoji8]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dea bhana lol, naanzaje kumuacha sasa na Pete nshavikwa.
 
We vp broo mbona kama unafosi kunielewesha upuuzi niteme basi
Mi nataka nikuelimishe nikutoe tongotongo ili ukawe balozi kwa wengine mtoane matongotongo hayo maana mnajazana sana maujinga mtaani humu
 
Wala natanua miguu haswaa, [emoji23][emoji23][emoji23]
Alhamdullilah we toto sasa ndo unafaa sana kwa ajili ya kuwa kitoweo kama kweli unatanua miguu haswaaaaaa
 
Selebonge mkali wa hizi kazi😋😋
Kuna kwa wapemba kwa Aziz ally,😋
 
Hizi ndio sehemu zangu bora nilizokula chipsi nikaenjoy kwa mwaka huu 2020.
1. American chips-- kinondoni
2. Kwa mpemba-- k/nyama
Haya leo tutajiane sehemu zingine bora ambazo ukigonga kiepe lazima utafune kidole kwa bahati mbaya ili 2021 tutembelee

UPDATES
machimbo ambayo hupaswi kukosa mwaka 2021
-mwedi chicken chips:arusha ngarenaro
-sele bonge : Morocco
-kwa bonge : corner bar
-kwa shirima : upanga
- kwa hamijei : k/njama
-kwa njoroge : mzumbe university
Round about ya Mbezi kuelekea Malamba mawili , upande wa kushoto kama unatoka Stand Kwa Mama Zai
 
Mi nataka nikuelimishe nikutoe tongotongo ili ukawe balozi kwa wengine mtoane matongotongo hayo maana mnajazana sana maujinga mtaani humu
We unaumwa wewe mafuta ya chipsi yashatafuna ubongo wako so unaona kila mtu anapaswa kula hayo makitu hata tukienda kitaalamu hiyo chipsi ina nn inaongeza kwenye mwli mpaka unielimishe ?
Hizo junk food siyo za kula daily kwanza
 
Back
Top Bottom