Hizi sehemu ukinunua chipsi lazima ujitafune vidole

We unaumwa wewe mafuta ya chipsi yashatafuna ubongo wako so unaona kila mtu anapaswa kula hayo makitu hata tukienda kitaalamu hiyo chipsi ina nn inaongeza kwenye mwli mpaka unielimishe ?
Hizo junk food siyo za kula daily kwanza
Sasa ugali una kitu gani kilichokizidi kiepe
 
Alhamdullilah we toto sasa ndo unafaa sana kwa ajili ya kuwa kitoweo kama kweli unatanua miguu haswaaaaaa
Natanua miguu mubashara kabisaa, ili uwanja uwe mpana na game lipigike kwa vyenga na pasi muruaaah.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi ni nini huwa kinawafanya wanawake wengi mpende vipsi?
 
Natanua miguu mubashara kabisaa, ili uwanja uwe mpana na game lipigike kwa vyenga na pasi muruaaah.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ohooo mtoto mashaalah wewe itabidi nikutafute ili namimi unichanulie mubashara
 
uwe unatutembelea na CALABASH hapa mwenge mpakani nina uhakika hautojutia...!
 
Hakuna sinia la kushea jamaa tu kaleta umasikini wake
lipo linauzwa 15, peke ako humalizi ndo Mana linaitwa la kushare Kama upo na mwanao mnachangiana mnanunua mnagonga Kama mpo kweny maulid[emoji58]
 
Chips chakula moja kizuri sana watu huwaga hamjui tu
Bro chips ni starch kama unavosema na hilo ndo tatizo zaidi maan tunajua kuwa starch inaanz kumeng'enywa mdomoni so kwa muundo wa chips uliochanganyika na mafuta utakamua mafuta ili umeng'enye viazi kwahyo mafuta yote yataingia mwilini kama yalivyo na mafuta mengi mwilini ni tatizo. Kwa maan hyo utetezi wako wa kiafya ni uongo kwamba chips sawa na ugali though chips tamu sanaa kuliko ugali.
 
  • Thanks
Reactions: BRN

Kumbe ushasema kwamba zote starch mjadala tayari ushamalizwa
 
Ohooo mtoto mashaalah wewe itabidi nikutafute ili namimi unichanulie mubashara
Hebu tujadili chimbo za chips, tusitoke nje ya mada lol.

Back
Top Bottom