Hizi sasa ni ndoto CHADEMA

Hizi sasa ni ndoto CHADEMA

Sikiliza binti CCM itapigiwa kura na watu wanaojua tulikotoka na tuendako. Wewe jifanye kuiponda lakini mwisho wa siku Nchi hawezi kuwa mikono ni mwa watu kwenye nia zao za kujitajirisha na kugawana Rasilimali zetu! Kamwe haitatokea hilo!!
hivi kati ya ssm na hao unaowataja, ni nani wameiibia nchi na kujitajirisha. nani mwingine alishawahi kutawala nchi hii, and yet kumekuwa na wizi na ufisadi usio na kipimo. nakuonea huruma na ninakusamehe kwasababu najua pengine umri na akili yako bado ni ya utoto haujajua maisha na haujajua nchi hii ilivyotawaliwa tangu uhuru. Mungu akusamehe pia.
 
Bila katiba mpya kuling'oa hili lichama zee, linalokandamiza haki za raia, linaloua uchumi wa nchi, linalopumbaza wananchi na uelewa wao mdogo wanaendelea kulipgia kura(hasa vjjni), linalotia watu umaskini wa kutupwa, lichama lililojaa wezi, KM KATIBA MPYA HAIPATIKANI, kuling'oa hili jinamizi ni ndoto.
 
hivi kati ya ssm na hao unaowataja, ni nani wameiibia nchi na kujitajirisha. nani mwingine alishawahi kutawala nchi hii, and yet kumekuwa na wizi na ufisadi usio na kipimo. nakuonea huruma na ninakusamehe kwasababu najua pengine umri na akili yako bado ni ya utoto haujajua maisha na haujajua nchi hii ilivyotawaliwa tangu uhuru. Mungu akusamehe pia.
Wewe binti uwe na heshima. Natosha kuwa baba yako!
 
Nakubaliana nawe kuwa Makengeza na chongo ni udhaifu wa mwili wangu.

Je,hii propaganda ya udini na ukanda haitumiki na CCM to divide and rule?
ccm haipendwi lakini hilo likisemwa linakuwa halina chenga, chadema ikiepukana na udhaifu huo inamaliza uchaguzi mapema saa nne.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom