Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,933
- 34,912
Ukweli wasiotaka kuusikiachadema haiwezi kushinda mpaka watapoacha udini na ukabila
Ukweli wasiotaka kuusikiachadema haiwezi kushinda mpaka watapoacha udini na ukabila
Sijawahi kusikia Wala kuona CDM wakiwa na udini zaidi ya propaganda hii kutumika na CCM kuwagawa wapiga kura.Ukweli wasiotaka kuusikia
Utakubalije wakati wewe mwenyewe mchagga, ndo mnaokula ruzuku za chama na kuchagua mademu zenu viti maalumu.Sijawahi kusikia Wala kuona CDM wakiwa na udini zaidi ya propaganda hii kutumika na CCM kuwagawa wapiga kura.
Kuna siku ukweli utadhihiri!
Kwa hiyo unawaombea wana Kagera wapate kipindupindu?Bavicha mnaugua gonjwa gani siku hizi?shule za ccm watu wanalala nje na tunategemea kipindupindu kufika huko serikali imewadhulumu pesa za kuwasaidia Asante sana Mungu anawaona.
swissme
Utakubalije wakati wewe mwenyewe mchagga, ndo mnaokula ruzuku za chama na kuchagua mademu zenu viti maalumu.
polluted mind!
nang'oka vizuri, kwa jinsi maisha yalivyo magumu mtaani hata hawatatumia nguvu kubwa. wananchi wengi sasaivi ni kupulizwa tuna upepo wameshafuata upepo unakoelekea kwasababu matumaini hakuna. ningekuwa mshauri wa magu hakika ningemwambia apunguze fimbo, wananchi mtaani wanapata shida, wanafunzi vyuoni na wale waliokosa mikopo wana hasira sana. usalama wa nchi kwa sasa unatakiwa kuligundua hili kwasababu wachache sana wakiambiwa waandamane watakataa,walio wengi kwa jinsi ninavyoona watu mtaani, aisee wanaweza kujaribiwa.Pamoja na mipango na mbinu nzuri za kisiasa zilizowafikisha hapo walipo CDM ila sasa naona wanaishiwa pumzi.
Hivi unawezaje kuota doto ya kumng'oa Rais Magufuli kama haya tu ya kawaida ameyafanya na umefuata.
1. Amezuia bunge live, mmekubari.
2. Amezuia mikutano halili ya kisiasa, pamoja na mipango yenu mfano UKUTA bado amewashinda.
3. Amenipitisha sheria mbovu za habari za kukubana bado amewashinda
Hiyo mipango ya kumng'oa mtaifanyaje kama hamuwezi hata kufanya mikutano, hamuwezi kuandika baya juu yake, hamuwezi kuonekana hata kwenye TV wala magazetini..
Nawashauri muanze na haya madogo aliyowashinda kuliko hili kubwa.
Alafu mngejua haya yote Magufuli anayafanya kwa lengo la kuua upinzani basi mngeanza kuwa serious.
Bahati mbaya mnafanya siasa katika taifa la watu wenye uelewa mdogo mno, poleni sana CDM.
View attachment 436647
kauli kama ya kwako ndio husababisha machafuko kokote. usiseme hata mtu asipopiga kura ccm itashinda, kwanza unahamasisha watu wasipige kura kabisa kwasababu lolote watakalofanya ccm itashinda. halafu hata viongozi wako wa ccm hawajawahi kuoongea hiyo kauli ni wewe tu mfuata upepo unaongea hivyo. sio vizuri ndugu.Wewe mvuta bangi hata usipoipigia CCM inashinda tu
Sikiliza binti CCM itapigiwa kura na watu wanaojua tulikotoka na tuendako. Wewe jifanye kuiponda lakini mwisho wa siku Nchi hawezi kuwa mikono ni mwa watu kwenye nia zao za kujitajirisha na kugawana Rasilimali zetu! Kamwe haitatokea hilo!!kauli kama ya kwako ndio husababisha machafuko kokote. usiseme hata mtu asipopiga kura ccm itashinda, kwanza unahamasisha watu wasipige kura kabisa kwasababu lolote watakalofanya ccm itashinda. halafu hata viongozi wako wa ccm hawajawahi kuoongea hiyo kauli ni wewe tu mfuata upepo unaongea hivyo. sio vizuri ndugu.
serikali ndiyo inaombea tena ili wapate pesa za rambirambi.Kwa hiyo unawaombea wana Kagera wapate kipindupindu?Bavicha mnaugua gonjwa gani siku hizi?
Kupambana na mtu ambaye yuko radhi kunyomfoa roho za wananchi wake kwa ajili ya kujihami inatakiwa upambane naye kwa akili Sana,vinginevyo unaweza ukajikuta umepoteza wafuasi wako wengi kwa kufungwa jela na kuuawa kwa raia wasiokuwa na hatia.
shule za ccm watu wanalala nje na tunategemea kipindupindu kufika huko serikali imewadhulumu pesa za kuwasaidia Asante sana Mungu anawaona.
swissme
Kwani hiyo shule wanasomesha wanafunzi wa ccm? Acheni uchawi wabongo, mbona hao raia wanasaidiwa pia, acheni uchawi ase.
watoto na wanawake bukoba sasa wanalala nje na watoto wa kike wananakwa hakuna chakula nyumba zao sasa ni mabox kosa ni serikali kula pesa zao za rambirambi .
swissme