Hizi sasa ni ndoto CHADEMA

Hizi sasa ni ndoto CHADEMA

Chadema wamebaki na nguvu ya mdomo tu, ikifika kwenye vitendo mikia yote wanaifyata
 
Tutamuondoa ss tuliomuweka yaan ata akigombea na jiwe ss tutalipigia kura jiwe
 
Pamoja na mipango na mbinu nzuri za kisiasa zilizowafikisha hapo walipo CDM ila sasa naona wanaishiwa pumzi.

Hivi unawezaje kuota doto ya kumng'oa Rais Magufuli kama haya tu ya kawaida ameyafanya na umefuata.

1. Amezuia bunge live, mmekubari.

2. Amezuia mikutano halili ya kisiasa, pamoja na mipango yenu mfano UKUTA bado amewashinda.

3. Amenipitisha sheria mbovu za habari za kukubana bado amewashinda


Hiyo mipango ya kumng'oa mtaifanyaje kama hamuwezi hata kufanya mikutano, hamuwezi kuandika baya juu yake, hamuwezi kuonekana hata kwenye TV wala magazetini..

Nawashauri muanze na haya madogo aliyowashinda kuliko hili kubwa.

Alafu mngejua haya yote Magufuli anayafanya kwa lengo la kuua upinzani basi mngeanza kuwa serious.

Bahati mbaya mnafanya siasa katika taifa la watu wenye uelewa mdogo mno, poleni sana CDM.

View attachment 436647
Usitutukane sie watanzania kuwa wajinga acha hizo
 
haya mambo hayataki asira BWANA YULE MTUKUFU Mfalme ngoja ajikanyage 2020 hatufanyi kosa.


swissme
Afadhali yako wewe uliamua yaishe unasubiri hadi 2020,wenzako wanataka kuwehuka huko
 
si umesikia shule zimeanza kujengwa makamanda wenzako wanatoa povu hukoi
shule za ccm watu wanalala nje na tunategemea kipindupindu kufika huko serikali imewadhulumu pesa za kuwasaidia Asante sana Mungu anawaona.


swissme
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom