Hizi sasa ni ndoto CHADEMA

Hizi sasa ni ndoto CHADEMA

sirjohn

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2014
Posts
767
Reaction score
679
Pamoja na mipango na mbinu nzuri za kisiasa zilizowafikisha hapo walipo CDM ila sasa naona wanaishiwa pumzi.

Hivi unawezaje kuota doto ya kumng'oa Rais Magufuli kama haya tu ya kawaida ameyafanya na umefuata.

1. Amezuia bunge live, mmekubari.

2. Amezuia mikutano halili ya kisiasa, pamoja na mipango yenu mfano UKUTA bado amewashinda.

3. Amenipitisha sheria mbovu za habari za kukubana bado amewashinda

Hiyo mipango ya kumng'oa mtaifanyaje kama hamuwezi hata kufanya mikutano, hamuwezi kuandika baya juu yake, hamuwezi kuonekana hata kwenye TV wala magazetini..

Nawashauri muanze na haya madogo aliyowashinda kuliko hili kubwa.

Alafu mngejua haya yote Magufuli anayafanya kwa lengo la kuua upinzani basi mngeanza kuwa serious.

Bahati mbaya mnafanya siasa katika taifa la watu wenye uelewa mdogo mno, poleni sana CDM.

IMG-20161120-WA0066.jpg
 
Mbowe ndio mchawi wa chadema...

anashauri mipango isiyo na tija.
kama kususia bunge maalum la katiba, na kususia vikao vya bunge huku ccm wakipitisha maslahi yao...
 
haya mambo hayataki asira BWANA YULE MTUKUFU Mfalme ngoja ajikanyage 2020 hatufanyi kosa.

swissme
Magufuli/ccm hawezi shidwa kwenye box la kura..maisha sahau hiyo..

trust me 2020 hata wabunge wa CCM walioshindwa watatangazwa kwa nguvu..
 
Kupambana na mtu ambaye yuko radhi kunyomfoa roho za wananchi wake kwa ajili ya kujihami inatakiwa upambane naye kwa akili Sana,vinginevyo unaweza ukajikuta umepoteza wafuasi wako wengi kwa kufungwa jela na kuuawa kwa raia wasiokuwa na hatia.
 
Tumeacha Siasa za harakati

utaachaje siasa za kiharakati kupambana na chama jeuri kama CCM..aina ya siasa hufanywa kulingana na mazingira ya yule mnayefanya nae siasa..huwezi kuacha siasa za kiharakati kama mpinzani wako ni chama kama CCM
 
Pamoja na mipango na mbinu nzuri za kisiasa zilizowafikisha hapo walipo CDM ila sasa naona wanaishiwa pumzi.

Hivi unawezaje kuota doto ya kumng'oa Rais Magufuli kama haya tu ya kawaida ameyafanya na umefuata.

1. Amezuia bunge live, mmekubari.

2. Amezuia mikutano halili ya kisiasa, pamoja na mipango yenu mfano UKUTA bado amewashinda.

3. Amenipitisha sheria mbovu za habari za kukubana bado amewashinda

Hiyo mipango ya kumng'oa mtaifanyaje kama hamuwezi hata kufanya mikutano, hamuwezi kuandika baya juu yake, hamuwezi kuonekana hata kwenye TV wala magazetini..

Nawashauri muanze na haya madogo aliyowashinda kuliko hili kubwa.

Alafu mngejua haya yote Magufuli anayafanya kwa lengo la kuua upinzani basi mngeanza kuwa serious.

Bahati mbaya mnafanya siasa katika taifa la watu wenye uelewa mdogo mno, poleni sana CDM.

View attachment 436647
Chapa kazi wewe acha siasa.
 
"Kama ccm haitang'oka 2015 basi itatawala kwa zaidi ya miaka 100" - Kafulila
 
Kupambana na mtu ambaye yuko radhi kunyomfoa roho za wananchi wake kwa ajili ya kujihami inatakiwa upambane naye kwa akili Sana,vinginevyo unaweza ukajikuta umepoteza wafuasi wako wengi kwa kufungwa jela na kuuawa kwa raia wasiokuwa na hatia.
Ahsante.
 
Hata mpumbavu ujiona yuko sawa wewe usemaye watanzania uwelewa mdogo wataka wafanye nini ili ujuwe watanxania wako na uwelewa mkubwa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom