Hizi SALON za kiume za massage na Kushave balaa

Naona mnapenda kweli kujadili vitu hivi, kama ulifanyiwa si ni wewe na unyamamze kimya!!!!!!!!! Acheni kutuletea stori za chumbani kwenu

Sasa wewe unakuja huku kwenye mambo ya kikubwa kutafuta nini? Acha unafiki...maana ume-log in mpaka ukaingia....otherwise..usingeingia...si unaona wengine..tunapita pita kujifunza elimu dunia...ingawa hatu-comment...kama vipi nenda jukwa la siasa au Michezo...wengine hapa tunajifunza...
 
Hilo ni danguro kaka.Massage parlour ni danganya toto hiyo ndo kinondoni
 
Naona mnapenda kweli kujadili vitu hivi, kama ulifanyiwa si ni wewe na unyamamze kimya!!!!!!!!! Acheni kutuletea stori za chumbani kwenu

We mtoto kalale huku pa wakubwa hapakufai, uliingia kufanya nini? ohooo mkipofuka macho mnawasingizia MAFISADI
 
Tukipewa huduma chache oooh tunataka zote na tukipewa zote ooh kwanini tunapewa. Kama we haupendi vitamu si uache waungwana tukandamize ile kimya kimya! hadi chumvini shaa!!!
Bado inaonesha we ni mtoto ukiwa mkubwa hata condom hautakumbuka, eeh,eeh,teheee!!!
 
Nakerwa na tabia ya akina dada wanao fanya kazi za kusugua nyuso za wanaume kwenye salone za kiume kuwa ombaomba wakati wote,imekuwa tabia ya akina dada hao kuzoea wateja kwa nguvu na kuwapachiki majina ya oh mpenzi mara shemeji na papo hapo kukupiga mzinga,balaa inakuwa pale ukimwambia huna ananuna kama vile wewe ndie jamaa yake,na ukizoea kwenda kwenye salone hiyo hiyo ba ukarogwa kutoa tip mara moja au mbili basi hapo umeshakuwa bwana wake ni mizinga kama kawa na ukilogwa kutoa namba yako ya simu umekwisha.Ushauri wangu ukienda salone na ukachangamukiwa basi tafadhali uchune kwani ukijirahisi ndo mwanzo wa kuwa makubwa
 
lets say salon for today
 
Wadada wengi kwene hizo salon wamekaa kimtegomtego, wanaeza 'kufyatuka' dakika yeyote.

BTW, keep an eye on ur valuables when u r in.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom