Hizi picha miaka 60 baada ya uhuru, ni kielelezo tulikosea kutaka kujitawala na tulitakiwa tuendelee kutawaliwa

CHADEMA haina Dhamana ya kujenga Shule Vyoo wala masoko kwani haukufanyi Kodi za Wanachi ni MWEHU ndio anaweza Kuwaza kama wewe unavyowaza
Si tungeona hata chadema wanafaa! Wote ni walewale tu hamna kitu, una lengo ila hauna dira!
 
Kila anayeingia madarakani anazusha miradi yake ya kupiga hela huku akidai ni ya kuleta maendeleo na watu wanashangilia na yeyote anayehoji hoji anapotezwa au anapewa kesi takatifu aangaike nayo.
 
Ukiacha swala zima la utawala bora na mambo mengineyo yaliyotushinda mpaka sasa, hata hili la vyumba vya madarasa na matundu ya choo,nalo bado ni tatizo miaka 60 tangu tuanze kujitawala.

Cha ajabu, 2025 CCM watataka tena wachaguliwe ili waendelee kuongoza hii nchi na kuna watu watawapigia kura.

Alietuloga alaniwe.

View attachment 1952384
Huyo "Jamaa" mwenye kitumbo, kavaa kijani ndiye mwenye hivyo vijumba?

Najua hii ni mada kati ya watani, lakini nasi tusiokuwa na unazi wa aina hii inatubidi wakati mwingine tuchangie mada kama hizi!

CCM wameharibika sana, lakini hawakuwa namna hii siku zote.

Lakini sema ukweli wako mkuu wangu 'Salary', wakati wa mkoloni ulipata kuona kitumbo kama hicho alichonacho huyo jamaa? Hayo ndiyo maendeleo na matunda ya uhuru ( wenyewe wanasema).
 
Kiherehere cha Nyerere na wazee wa bagamoyo,bora mkoloni mweupe kuliko mkoloni mweusi
Hebu nijaribu njia nyingine huenda utashawishika kuelewa kwamba unapotoka kwa hayo uliyoandika hapo.

Hata Nyerere mwenyewe angejua kwamba CCM ingeifikisha nchi hapa ilipo leo hii, huenda angeachana na juhudi za kutafuta uhuru!
Hebu nieleze unaonaje mstari huo. Unakusaidia kidogo?
 
Huyo "Jamaa" mwenye kitumbo, kavaa kijani ndiye mwenye hivyo vijumba?

Najua hii ni mada kati ya watani, lakini nasi tusiokuwa na unazi wa aina hii inatubidi wakati mwingine tuchangie mada kama hizi!

CCM wameharibika sana, lakini hawakuwa namna hii siku zote.

Lakini sema ukweli wako mkuu wangu 'Salary', wakati wa mkoloni ulipata kuona kitumbo kama hicho alichonacho huyo jamaa? Hayo ndiyo maendeleo na matunda ya uhuru ( wenyewe wanasema).
Nimecheka sana japo niko mwenyewe.
 
Zamani kitu kama vyoo lilikua ni jambo la wananchi kuungana na kuchimba mashimo ya vyoo. Matofali yatachomwa na vyoo vitapatikana.

Siku hizi inasubiriwa misaada ya wamarekani na wajapan.
 
Ukiacha swala zima la utawala bora na mambo mengineyo yaliyotushinda mpaka sasa, hata hili la vyumba vya madarasa na matundu ya choo,nalo bado ni tatizo miaka 60 tangu tuanze kujitawala.

Cha ajabu, 2025 CCM watataka tena wachaguliwe ili waendelee kuongoza hii nchi na kuna watu watawapigia kura.

Alietuloga alaniwe.

View attachment 1952384
Umefufuka?
 
Hii nchi hata maombi ni sawa na kupoteza muda tu
 
Wanufaika wa matunda ya UHURU ni familia chache za washenzi ambao baba zao waliwadanganya waafrika eti wawasaidie kuwafukuza wakoloni eti watanufaika na matunda ya UHURU.
 
Eenhe aisee hapa ndo Mawazo yako yamekupeleka, vile viboko walivyochapwa babu zako bado unavitamani.
Unashangaza!
Si ulikuwepo wakichapwa hivyo viboko ??

Hivi muingereza alimbambikizia nani kesi ??
 
Back
Top Bottom