Hizi ni kejeri au Unafiki? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hizi ni kejeri au Unafiki?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mvaa Tai, Nov 1, 2011.

 1. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #1
  Nov 1, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Jamani wana MMU naombeni kuuliza hivi ni kwanini ukiweka picha yako kwenye Facebook lazima itasifiwa hata ikiwa mbaya vipi, binafsi nimejaribu kuweka picha niliyotoka hovyo kabisa, lakini nimekutana na Coments kama:-

  *Waaaw!!!!! Nice pic
  *Look gud!!!!!
  *gorgeous
   
 2. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2011
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,465
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  Ulitaka wakuponde? They are trying to be nice to you! You have to appreciate it!
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Nov 1, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Kwa vipimo vyako ulitoka hovyo, lakini kwa bahati mbaya vipimo vyako sio final/standard measurement!
   
 4. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #4
  Nov 1, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Sasa naanza kuelewa tartibu
   
 5. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #5
  Nov 1, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,018
  Likes Received: 417,506
  Trophy Points: 280
  hivi ulijaribu kuwauliza waliotoa hayo maoni kwa nini wanakusifia wakati wewe wajiona haukuwa murua.......................lakini mara nyingi tunapenda mtu original bila makeup...................................labda hicho ndicho kilichowavutia hapo.......
   
 6. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #6
  Nov 1, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Ungewauliza huko huko face book nadhani wangekupa jibu zuli zaidi au kama unataka tuchangie na sisi ungetuwekea hizo picha tukatoa maoni yetu vinginevyo itakuwa kesi ya wale wao tushibe sisi?
   
 7. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #7
  Nov 1, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,147
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  tuwekee hiyo picha.tuiponde..
   
 8. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #8
  Nov 1, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  achana na akina fb we weka hapa tukupe realy comment!
   
 9. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #9
  Nov 1, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  ungewauliza huko huko facebook maana sisi hatujaiona na wala hatuwezi kutoa majibu ya hewani kwa kitu ambacho hatujakiona
  Au na wewe ni handsome/beautiful nini unataka uanze kutuambia hapa
   
 10. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #10
  Nov 1, 2011
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  hivi facebook ni nini?nielewesheni jamani.
   
 11. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #11
  Nov 1, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Ebu tuweke nasisi tuone halafu tutakupa ukweli kama nzuri au inastiri hali..
   
 12. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #12
  Nov 1, 2011
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Kama uliona umetoka vibaya basi waliocomment waliona umetoka safi,wahenga walisema ukiona cha nini wenzio wanasema watakipata lini,hakuna mbaya duniani ni mtizamo tu.
   
 13. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #13
  Nov 1, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Weka nyingine uwe unalia uone je ni unafiki au la!
   
 14. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #14
  Nov 1, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  kITABU CHA USO AMBAKO WANAWEKA PICHA ZAO KUONYESHA KUWA WAO NI HANDSOME NA BEAUTIFUL
   
 15. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #15
  Nov 1, 2011
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  griiiiii*!#!€¥!,....... mambo y fb huku yamefuata nn? we lazima utakua kilaza w UDSM.
   
 16. gozo

  gozo JF-Expert Member

  #16
  Nov 1, 2011
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 460
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  ndo urafik wa kwenye keyboard huo..
   
 17. kajwa

  kajwa Member

  #17
  Nov 1, 2011
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 48
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  watu wengi wa face book wamejaliwa kejeli na unafki,sometimes wanasifia vitu ambavyo havina hata maana, kwa hilo sishangai.
   
 18. fabinyo

  fabinyo JF-Expert Member

  #18
  Nov 1, 2011
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 2,084
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  hi kwani fb mnaweka picha za ukweli halafu wengi hapa jf mnaweka fake?iweke hapa,tukupe ukweli wako
   
 19. J

  Jakie_optimist Member

  #19
  Nov 1, 2011
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hatujazoea kuambiana ukweli..
   
 20. Meritta

  Meritta JF-Expert Member

  #20
  Nov 1, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  face buku imejaa unafiki tu, kuna mtu aliweka mguu wa mtu aliyepata ajali, loo waliochangia walisema ...... nice pic!
   
Loading...