Hizi ndo shule 100 Kongwe na zilizotikisa Tanzania, na asilimia 90 humu tumepitia katika shule hizi

Mtwara ufundi, ni shule yangu naipenda,
Mtwara ufundi, ni shule yangu naipenda,
iko wapi? mtwara mjini,
iko wapi? mtwara mjini, mkoani mtwara, kanda yakusini,
Kauli?....................................................................................................... (mafundi mpo?)
Huu wimbo umenikumbusha mbali mkuu,ndani ya DH scholl baraza
 
Mtwara ufundi, ni shule yangu naipenda,
Mtwara ufundi, ni shule yangu naipenda,
iko wapi? mtwara mjini,
iko wapi? mtwara mjini, mkoani mtwara, kanda yakusini,
Kauli?....................................................................................................... (mafundi mpo?)
Yeah,iko poa shule yangu ile.
 
Back
Top Bottom