Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 8,319
- 16,487
enhee, ndo twapanda wenyewe hizo na maisha yanaenda.
sijui umetokea wapy na wewe watu wanazungumzia daladala we umechakachua mada,KUJIKWEZA tu.Zanzibar, nchi ya kwanza Afrika kuwa na TV za rangi !
kutoka msikiti wa madole mpaka kwa batashi lazima upitie mchambawima? halafu ni chafu mno, mara damu toka juu ya paa zizizojulikana za mnyama gani aliyepakiwa kwenye kipaa
Ndiyo mambo ya waswahili hayo. Daladala yenyewe imekaa kiubwabwa ubwabwa tu.
kutoka msikiti wa madole mpaka kwa batashi lazima upitie mchambawima? halafu ni chafu mno, mara damu toka juu ya paa zizizojulikana za mnyama gani aliyepakiwa kwenye kipaa
Zanzibar, nchi ya kwanza Afrika kuwa na TV za rangi !
sijui umetokea wapy na wewe watu wanazungumzia daladala we umechakachua mada,KUJIKWEZA tu.
Bwabwa ni wewe ambaye bila ya kuulizwa umeanza na mada hiyo. Hujifichi basi!