Hizi ndo akili za baadhi ya wanawake

Tutoleee ufala bhana umalaya wako ndio unakuja kutusimulia humu ndani. We ukitaka tembea hata na chuo kizima
 
HUYU DADA ANAOMBA USHAURI

Jamani naombeni ushauri wenu, sijui nifanye nini. Mimi ni binti wa miaka 23, nipo chuo mwaka wa tatu. Naomba ushauri wako, mwaka jana nilikua na mpenzi wangu, ni mwanafunzi mwenzangu, lakini tukagombana tukaachana na yeye akamchukua rafiki yangu. Nikiwa katika maumivu nilikutana na mwanaume mwingine ambaye naye pia ni mwanafunzi mwenzangu.

Alinisaidia sana kupona kwenye maumivu yangu, alikua ananijali, ananisikiliza na kila kitu ananifanyia. Kaka nilikua vizuri sana, tukajikuta tumeingia kwenye mahusiano naye na mpaka sasa tuna miezi sita. Kaka sababu ya kuja kwako ni hivi, baada ya kuona kuwa X wangu hanijali, amemchukua rafiki yangu niliamua kumkomoa, nikabeba mimba ya huyu Kaka ambaye niko naye.

Kweli nilimuambia na alikubali akanipeleka mpaka kwao, shida kaka inakuja sasa hivi nina ujauzito wa miezi minne. Nyumbani hawajui kama nina mimba, X wangu amesikia kuwa nina mimba na kunitafuta ili tuongee. Kusema kweli kaka nilikua na hasira naye ila aliponitafuuta nilihisi kuchanganyikiwa, kwanza nililoana kabisa, yaani niliona kama dunia imefunguka.

Nilikubali kuonanana naye, ingawa nilijaribu kuficha lakini alitaka tufanye mapenzi akaona tumboa langu nikawa sina namna zaidi ya kumuambia kuwa nina mimba ya mwanaume mwingine. Huwezi amini kaka X wangua liumia sana na kuniambia kuwa ananipenda na sikutakiwa kuzaa kwasasa, kusema kweli nimekaa na kufikiria sitaki kuzaa hasa na huyu mwanaume niliyenaye kwani nahisi simpendi.

Sababu ya kuja kwako ni hivi, X wangu anataka kunirudia na anataka kunioa, ameshanivalisha pete ingawa si sherehe ila kanivalisha na akaniambia nitoe hii mimba ya huyu mwanaume kisha nibebe mimba yake kwani ananipenda na hataki nirudiane na huyu mwanaume. Kaka naomba ushauri, namuachaje huyu kaka kwani kanisaidia sana.

Kumpenda simpendi ni ile tu wakati ule nilikua nashida, sitaki kumuumiza nawaza nimuacheje ili asiumie. mimba yake nimeshaitoa na imeenda vizuri ingawa ilikua ni kubwa, lakini ninachotaka kujua sasa namuachaje, yeye sasa hivi yuko kwao na kila siku ananipa naongea na wazazi wake kuhusu mtoto yaani nashindwa nini chakufanya, sitaki kumuumiza kama nilivyoumia mimi hata sijui nifanyaje jamani nipo njia panda.
Imekaa vizuri, kama kweli anakupenda kwa dhati Kama anavyosema atakuoa pasipokujali una mimba ya mwingine! Akuoe na mimba alee mpaka mtakapojifungua na mtoto wenu mumlee! Kama hataki mimba yako hakupendi huyo, piga chini pasipokujali maneno yake matamu!
 
Yani mtu anatoka na rafiki yako bado unamuona ni wa maana? Amaaa kweli mapenzi ni upofuu
 
HUYU DADA ANAOMBA USHAURI

Jamani naombeni ushauri wenu, sijui nifanye nini. Mimi ni binti wa miaka 23, nipo chuo mwaka wa tatu. Naomba ushauri wako, mwaka jana nilikua na mpenzi wangu, ni mwanafunzi mwenzangu, lakini tukagombana tukaachana na yeye akamchukua rafiki yangu. Nikiwa katika maumivu nilikutana na mwanaume mwingine ambaye naye pia ni mwanafunzi mwenzangu.

Alinisaidia sana kupona kwenye maumivu yangu, alikua ananijali, ananisikiliza na kila kitu ananifanyia. Kaka nilikua vizuri sana, tukajikuta tumeingia kwenye mahusiano naye na mpaka sasa tuna miezi sita. Kaka sababu ya kuja kwako ni hivi, baada ya kuona kuwa X wangu hanijali, amemchukua rafiki yangu niliamua kumkomoa, nikabeba mimba ya huyu Kaka ambaye niko naye.

Kweli nilimuambia na alikubali akanipeleka mpaka kwao, shida kaka inakuja sasa hivi nina ujauzito wa miezi minne. Nyumbani hawajui kama nina mimba, X wangu amesikia kuwa nina mimba na kunitafuta ili tuongee. Kusema kweli kaka nilikua na hasira naye ila aliponitafuuta nilihisi kuchanganyikiwa, kwanza nililoana kabisa, yaani niliona kama dunia imefunguka.

Nilikubali kuonanana naye, ingawa nilijaribu kuficha lakini alitaka tufanye mapenzi akaona tumboa langu nikawa sina namna zaidi ya kumuambia kuwa nina mimba ya mwanaume mwingine. Huwezi amini kaka X wangua liumia sana na kuniambia kuwa ananipenda na sikutakiwa kuzaa kwasasa, kusema kweli nimekaa na kufikiria sitaki kuzaa hasa na huyu mwanaume niliyenaye kwani nahisi simpendi.

Sababu ya kuja kwako ni hivi, X wangu anataka kunirudia na anataka kunioa, ameshanivalisha pete ingawa si sherehe ila kanivalisha na akaniambia nitoe hii mimba ya huyu mwanaume kisha nibebe mimba yake kwani ananipenda na hataki nirudiane na huyu mwanaume. Kaka naomba ushauri, namuachaje huyu kaka kwani kanisaidia sana.

Kumpenda simpendi ni ile tu wakati ule nilikua nashida, sitaki kumuumiza nawaza nimuacheje ili asiumie. mimba yake nimeshaitoa na imeenda vizuri ingawa ilikua ni kubwa, lakini ninachotaka kujua sasa namuachaje, yeye sasa hivi yuko kwao na kila siku ananipa naongea na wazazi wake kuhusu mtoto yaani nashindwa nini chakufanya, sitaki kumuumiza kama nilivyoumia mimi hata sijui nifanyaje jamani nipo njia panda.
Sijui chai au laah lkn hizi ni akili za baadhi ya wanawake walio wengi.So jitafutie laana kwa kutoa uhai roho isiyo na hatia unaweza poteza maisha kwa ujinga wako wa kumfurahisha ex wako.
 
Back
Top Bottom