Hizi ndo akili za baadhi ya wanawake

Katika kiumbe ambaye ni ngumu kumuelewa basi ni mwanamke na ukianza kumuelewa unakufa siku sio nyingi
 
Duuh unaweza kutoa mimba ya miezi
Tuambiane wanafanyaje fanyaje jamani
 
This gender eeeeh!

Kama taifa tuna safari ndefu sana,naposema ndefu namaanisha ndefu haswa,yaani hawa ni akili za wasomi wapo chuo je huko mtaani waliobaki wana akili za aina gani?hakika ni kazi!
Siku zote hawa wanaojiita wasomi ndo huwa na akili za kinyumbu
 
Mpuuz mmoja ww,mama wa marehem na huyo kijana hakuoi ng'o tupo hapa,umemuacha mtu aliekupenda kipind una uchungu wa nafsi,ukaupata utulivu wa nafsi,mpaka ukambebea ujauzito bado kakuthamin kukutambulisha kwao ,lakin hubebek ,soon utalia kilio Cha mbwa koko
 
Poleni sana...

Kama ameweza kutoa mimba kitendo cha life or death, anashindwa aje kumuacha binadamu...
 
Ukiachana na binadamu,
Mwanamke ni kiumbe tofauti na wanyama wengine wote,
Itoshe kusema hivyo tu!!
 
Yaani unamkomoa mtu kwa kutumia mwili wako, mbususu yako mwenyewe mmh hizi akili za kitoto hizi, mwambie tu fainali uzeeni anatoa mimba sahivi kumbe ndiye mtoto pekee Mungu aliyekua kamuwekea.
KUMBE NDIYE MTOTO PEKEE MUNGU ALIYEKUA KAMUWEKA,yaani umewaza ndani ya box kama upo na mimi kichwani.
Muache atoe mimba.Majibu atayapata.
 
Back
Top Bottom