yamindinda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2011
- 1,581
- 1,318
jaribu kuipitia moja badala ya nyingine taratibuKWANGU HAZIJAFUNGUKA
Mkuu, hiki kiswahili vipi. Jua matumizi ya haya maneno. "Badala" na "baada". Ilitakiwa iwe " jaribu kuipitia moja baada ya nyingine" siyo hivyo ulivyoandika. Na usije ukasema ni "typing error" siku hizi kiswahili huko mashuleni ni shida.jaribu kuipitia moja badala ya nyingine taratibu
BAADAjaribu kuipitia moja badala ya nyingine taratibu