Naomba kujuzwa kuhusu hizi Programming job skills

Melxcom991

Member
Aug 2, 2021
48
25
Wakuu, samahini nilikuwa naomba niulize kwa wanaojuwa kati ya hizi programming skills job.

1. Full stack web developer,

2. Block chain developer,

3. Machine learning and Artificial intelligenece

Ipi ni marketable sana hapa TANZANIA even OUTSIDE?
 
Wakuu, samahini nilikuwa naomba niuliza kwa wanaojuwa kati ya hizi programming skills job.

Inategemea umemuomba ushauri nani,
Ukikutana web developer atakuambia web dev
Ukikutana anafanya blockchain atakuambia blockchain
Ukikutana na wa artificial intelligence atakuambia artificial intelligence
Ukikutana na data science atakuambia data science,
Ukikutana na wa cyber security atakuambia cyber security,
Ukikutana na wa internet of things atakuambia internet of things,
Ukikutana na wa networking atakuambia networking,
Ukikutana na wa embedded systems atakuambia embedded systems.,
Ukikutana na wa maintenance and repair atakuambia maintenance and repair
 
Hakuna Course isiyokuwa marketable (so hizo zote ni marketable) ukiingia kwenye soko unaangaliwa ujuzi maarifa na uwezo binafsi wa kukamilisha kazi/project kulingana na eneo husika ulilochagua kubobea. Kwa mfano ukienda kwenye interview yoyote kwa Course ulizotaja hapo (kama utachagua path ya kuajiriwa) ni lazima utakutana na mtihani wa vitendo (practical) utakao kuwa umekusudia kukupima ubora wako kwenye eneo fulani, angalia uko interested na yapi kati ya hayo uliyoorodhesha kisha piga msuli. Nakushauri usisomee kitu ukiwa na mind set ya Marketable ita ku disappoint huko mbeleni, technology inabadilika kila siku.
 
Wakuu, samahini nilikuwa naomba niuliza kwa wanaojuwa kati ya hizi programming skills job.
1. Full stack web developer,
2. Block chain developer,
3. Machine learning and Artificial intelligenece

Ipi ni marketable sana hapa TANZANIA even OUTSIDE?
Ungetaja back ground yako kidogo kwa mambo ya IT mtu ajue anamshauri mtu wa aina gan
 
Wakuu, samahini nilikuwa naomba niuliza kwa wanaojuwa kati ya hizi programming skills job.
1. Full stack web developer,
2. Block chain developer,
3. Machine learning and Artificial intelligenece

Ipi ni marketable sana hapa TANZANIA even OUTSIDE?
Zote ni Marketable worldwide inategemea na wewe mwenyewe,
 
Kwa now niko mwaka w pili nasoma Bsc.information system. Nimeuliza hivy coz sina enough expirience n hiz skills?
Kwenye industry ya IT inahitaji uwe very aggressive sana hasa kama ni fresh from school vinginevyo utaikimbia on the way haijarishi umesoma blockchain, AI au full stack web dev sio tu ugumu katika kusoma bali mazingira ya ajira bongo na hustle za kila siku.

Kwa private kitakacho kusaidia ni project zako ukiwa na portfolio ya kueleweka kati ya hivyo ulivyosema.
Serikalini uwe na theory na ujuzi wa vitendo hasa kwenye programming.

Sina haja ya kukuambia ukipitia matangazo utaona ni matangazo gani yana hitaji watu wengi pale utumishi na linkedin kwa private sector.

Japo kuna area zinahitaji watu wengi na wenye ujuzi nao ni wengi pia mfano web dev. Na kuna maeneo yanahiyaji watu wachache na wenye ujuzi huo ni wachache mfano mobile app development hasa react native.
Mwisho kwa chochote utakachoa amua jitahidi uwe great(mastery) usiwe good itakusaidia kucompete kwenye soko.

Siwezi kukushauri usome nini soko la ajira liko dynamic sana Tanzania ila follow your intuition unaweza ukawa wa kwanza kufanya kuleta revolution kwenye hiyo area kama kina ruge, millard ayo au maxence melo wakati wengine bado hawajashituka kuona hizo fursa mapema.

Mwisho muombe Mungu akuongoze
 
S
Kwenye industry ya IT inahitaji uwe very aggressive sana hasa kama ni fresh from school vinginevyo utaikimbia on the way haijarishi umesoma blockchain, AI au full stack web dev sio tu ugumu katika kusoma bali mazingira ya ajira bongo na hustle za kila siku.
Kwa private kitakacho kusaidia ni project zako ukiwa na portfolio ya kueleweka kati ya hivyo ulivyosema.
Serikalini uwe na theory na ujuzi wa vitendo hasa kwenye programming
Sina haja ya kukuambia ukipitia matangazo utaona ni matangazo gani yana hitaji watu wengi pale utumishi na linkedin kwa private sector.
Japo kuna area zinahitaji watu wengi na wenye ujuzi nao ni wengi pia mfano web dev. Na kuna maeneo yanahiyaji watu wachache na wenye ujuzi huo ni wachache mfano mobile app development hasa react native.
Mwisho kwa chochote utakachoa amua jitahidi uwe great(mastery) usiwe good itakusaidia kucompete kwenye soko.
Siwezi kukushauri usome nini soko la ajira liko dynamic sana Tanzania ila follow your intuition unaweza ukawa wa kwanza kufanya kuleta revolution kwenye hiyo area kama kina ruge, millard ayo au maxence melo wakati wengine bado hawajashituka kuona hizo fursa mapema.
Mwisho muombe Mungu akuongoze
Shukrani sana kaka
 
Wakuu, samahini nilikuwa naomba niulize kwa wanaojuwa kati ya hizi programming skills job.

1. Full stack web developer,

2. Block chain developer,

3. Machine learning and Artificial intelligenece

Ipi ni marketable sana hapa TANZANIA even OUTSIDE?
Web developer ina chance kidogo, hakuna block chain wala AI Tanzania.

Hata duniani kwa ujumla block-chain imekufa ganzi sana, "AI" developers ni very specialized inabidi uwe umesomea hivyo vitu sana sana kwenye level ya Master au Phd, naongelea actual AI development sio kuunga na API za kampuni za AI hao ni full stack/backend/web developer wa kawaida.
 
Hata duniani kwa ujumla block-chain imekufa ganzi sana, "AI" developers ni very specialized inabidi uwe umesomea hivyo vitu sana sana kwenye level ya Master au Phd, naongelea actual AI development sio kuunga na API za kampuni za AI hao ni full stack/backend/web developer wa kawaida
Web developer ina chance kidogo, hakuna block chain wala AI Tanzania.

Hata duniani kwa ujumla block-chain imekufa ganzi sana, "AI" developers ni very specialized inabidi uwe umesomea hivyo vitu sana sana kwenye level ya Master au Phd, naongelea actual AI development sio kuunga na API za kampuni za AI hao ni full stack/backend/web developer wa kawaida.
Hapo mkuu unanishaurije sasa???
 
Don't say that just yet..

Last week tulikua na event ya Generative AI pale Stanbic bank Tan house,

Pia kuna AILAB Tanzania AI community.. muamko ni mkubwa.

Neuraltech na sarufi ni moja ya mifano tu ya kuonyesha muamko uliopo and we are getting there give it 10 years give or take 5 years.
 
Bora umeongeya kaka, mshikaji itakuwa anauelewa mdogo san!!!!
 
Don't say that just yet..

Last week tulikua na event ya Generative AI pale Stanbic bank Tan house,

Pia kuna AILAB Tanzania AI community.. muamko ni mkubwa.

Neuraltech na sarufi ni moja ya mifano tu ya kuonyesha muamko uliopo and we are getting there give it 10 years give or take 5 years.
Hakuna AI developers hapo ni web developers hao wanaintegrate API za akina OpenAI kutengeneza interface zao wenyewe, sio kitu kibaya ila hakuna market kwa mtu ambaye ni AI developer TZ na hili ni kweli kwa majority ya develoeprs duniani, wengi tutazitumia hizi AI ila hatutazidevelop kama tuanavyotumia cloud za akina AWS/Azure etc.

Kuna hype yes kwa vile tuko kwenye hype cycle ya AI, lakini kumwabia mtu awe AI developer ni bahati na sibu kubwa.
 
Hapo mkuu unanishaurije sasa???
Fanya web development ambayo angalau ni established industry elemea zaidi upande wa backend. Unaweza kugusa crypo au AI hapa na pale kam unapenda.

Crypto iko kwenye decline na AI haieleweki itaenda wapi dalili zote ni kuwa itaishia kuwa kama Cloud Microsoft/Google/AWS watakuwa wanatuuzia akina sisi access kwenye system zao.
 
Neuraltech na sarufi ni moja ya mifano tu ya kuonyesha muamko uliopo and we are getting there give it 10 years give or take 5 years.
Hata hua sielewi hii kitu, relevance yake ni nini mkuu, samahan. Huwa naona ona tu status za huyu bwana mdogo but i really dont understand, what is sarufi trying to achieve/solve??
 
Hakuna AI developers hapo ni web developers hao wanaintegrate API za akina OpenAI kutengeneza interface zao wenyewe, sio kitu kibaya ila hakuna market kwa mtu ambaye ni AI developer TZ na hili ni kweli kwa majority ya develoeprs duniani, wengi tutazitumia hizi AI ila hatutazidevelop kama tuanavyotumia cloud za akina AWS/Azure etc.

Kuna hype yes kwa vile tuko kwenye hype cycle ya AI, lakini kumwabia mtu awe AI developer ni bahati na sibu kubwa.
Mkuu uko realistic sana. Nimependa mitazamo yako. Very realistic.
 
Back
Top Bottom