Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 269,648
- 698,190
Na sie tulio soma Feza Boys.. mnata tuweke zetu
Kweli kabisa
Daaaaah nimekumbuka mbaaaali sana ayseee wakati wa michezo pasipo kujua mchezo wowote ulikuwa hutii mguu kwenye "INJECTION".
Nililikuta, nikaliacha. Bado wengine wanaendelea kulikuta kuliachaView attachment 1486934
Camp langu hili..... Enzi za Isindagosi na mishe za issue..... Namuona Mwl. Ngimba na Kasalile.....
Bado linapiga kazi...Sasa hilo screpa si waliuze au imekaa kama makumbusho
Bado linapiga kazi...
Halafu kila graduation lazima bajeti yake isomwe na msaada wa kulihudumia uombwe kwa mgeni rasmi
Wapi hiiNililikuta, nikaliacha. Bado wengine wanaendelea kulikuta kuliachaView attachment 1486934
Kweli kabisaView attachment 1486954