Hizi ndio zilikuwa enzi

Hizi ndio zilikuwa enzi

Attachments

  • 1592925788422.png
    1592925788422.png
    313.6 KB · Views: 29
Si unasikiaga tu popo bawa weka uone tulivyo ndakindaki hayawani waandamizi tusioijua pepo bali keko..
Popo bawa mwenyewe anafanya kazi kwa maagizo yangu.. 😀😀😀
 
Popo bawa mwenyewe anafanya kazi kwa maagizo yangu.. 😀😀😀
Haya wacha maneno weka picha maana naona unafikiri hii ni bongo movie..
Sharti utasimulia tu usiposimulia Mambo itakuwa ccm mbele kwa mbele!
 
Inakuwaje siku hizi haiwezekani serikali kununua na kupeleka magari katika shule?

Zamani mambo yalikuwa mazuri tofauti na sasa.
 
Kama kuna member anakumbukuka basi lilokuwa linaitwa Ngarenaro ambalo lilikuwa linafanya safari za Arusha mjini kwenda Ngaramtoni anikumbushe....Ngasu ya vome...
 
Back
Top Bottom