Makanisa mengi yalioyoanzishwa na waafrika na kusambaa mataifa mengi duniani ni ya Wanigeria
Wanigeria hao ambao hawakupitia mfumo wa kawaida wa Elimu ya dini na vyeti vya kidini lakini uwezo wao wa kujua dini na umisionari ni mkubwa mno wako na makanisa Yao yako mabara yote ya Dunia ukienda utakuta makanisa Yao
Watu hao ni
1.Pastor Professor Enoch Adeboye wa kanisa la Redeemed Christian Church of God huyo alikuwa Profesa wa Hisabati wa Chuo kikuu Cha Lagos kabla kuacha na kufungua kanisa lenye matawi kote duniani
Ana bachelor degree ya Hisabati kutoka chuo kikuu Cha Lagos,Masters degree in Hydrodynamics kutoka chuo kikuu Cha lagos na PhD in Applied Mathematics kutoka chuo kikuu Cha Lagos
2.Proffessor Daniel Kolawole Olukoya wa kanisa la Mountain of Fire and Miracles Ministry
Huyu ana. Bachelor degree in Microbiology kutoka University of Lagos,Masters degree na PhD in Molecular Genetics kutoka chuo kikuu Cha Reading
Akiwa Professor alianzisha Hilo kanisa na Lina matawi Dunia nzima
3.William Folorindo Kumuyi wa kanisa la Deeper Life Christian Ministry huyu alikuwa Lecturer wa mathematics chuo kikuu Cha Lagos ana bachelor degree in Mathematics kutoka chuo kikuu Cha Ibadan na Masters na PhD degrees kutoka chuo kikuu Cha Lagos Nigeria .
4.Pastror Chris Oyakhilome wa Kanisa la wa kanisa la Christ Embassy huyu ana degree mbili bachelor na Masters in Architecture na kifani Ni Architecture
Ana makanisa Dunia nzima
5.David Oyedepo
Huyu baba yake alikuwa muislamu na mama yake Mkristo
Huyu alisomea mambo ya Architecture na ni Architecture by profession na ana PhD in Human Development kutoka chuo kikuu Cha Hawaii
Alfanya kazi serikalini akafungua kanisa la Winners Chapel ambalo Hadi Leo Lina matawi kote duniani
Hawa wote Wana makanisa mabara yote na nchi nyingi ya watu wa rangi zote na lugha tofauti pia na Tanzania yapo
Hivyo tukiongelea wamisionari pia tusisahau Hawa wamisionari waafrika wenzetu ambao hata ukienda ulaya au Asia,au marekani au Asia au Australia kote utakuta makanisa yao