Hizi nazo niziite baraka ama?

Hizi nazo niziite baraka ama?

It sometimes happen. .Kipindi kingine hata waubani wako tu dizain kunakua na ka ukimya fulani hadi unajiuliza nimeshazeeka sivutii tena ama???? but kuna muda kuanzia waubani, ma-ex ambao wengine washaoa, ex wasiooa, madanga mengine ya kawaida hata ambao wapowapo tu ila dizain wanakukubali wanakua very bize kukutafuta kiasi kwamba unashindwa nianze kujibu yupi na usipokua makini unaeza changanya mafaili ya meseji

Nb: AT YOUR OWN RISK

Cc Smart911
Hapo kila mmoja alikuwa na uhitaji wake, pesa, upweke, n those kind of things mahondaw kwa uzoefu wako unafikiri walikuwa na shida gan
 
It sometimes happen. .Kipindi kingine hata waubani wako tu dizain kunakua na ka ukimya fulani hadi unajiuliza nimeshazeeka sivutii tena ama???? but kuna muda kuanzia waubani, ma-ex ambao wengine washaoa, ex wasiooa, madanga mengine ya kawaida hata ambao wapowapo tu ila dizain wanakukubali wanakua very bize kukutafuta kiasi kwamba unashindwa nianze kujibu yupi na usipokua makini unaeza changanya mafaili ya meseji

Nb: AT YOUR OWN RISK

Cc Smart911
Ilishawahi nitokea hiyo nkachomoka kwa kuendeleza story
 
Nilichogundua wanawake nao ni mafisi kama sisi yani kuna kipindi una test pini zote zinagoma inakubali lile bayaaa unasuuza rungu hivyo hivyo the same to wanawake kuna siku wanamtafuta wanaume wengi kuna siku panakua pakavu ndio unashangaa msela unaletewa mzigo upige kimasihara
 
It sometimes happen. .Kipindi kingine hata waubani wako tu dizain kunakua na ka ukimya fulani hadi unajiuliza nimeshazeeka sivutii tena ama???? but kuna muda kuanzia waubani, ma-ex ambao wengine washaoa, ex wasiooa, madanga mengine ya kawaida hata ambao wapowapo tu ila dizain wanakukubali wanakua very bize kukutafuta kiasi kwamba unashindwa nianze kujibu yupi na usipokua makini unaeza changanya mafaili ya meseji

Nb: AT YOUR OWN RISK

Cc Smart911
Umenikumbusha instance flani nimecheka kama fala
 
Nimeisoma vzr mkuu Mshana ,ila huyo jamaa Sulemani mibaraka yake nahisi ilizidishwa maradufu aisee coz alipendelewa kubadilisha radha za wanawake tofauti kuliko mwanaume yoyote wa kipindi kile hahaaa nimeitafakari kwa jicho la kibaharia (natania)
Ndio isome mada yote utanielewa
 
Uko sahihi aisee,hata mimi naona nilisogezewa kimasihara bwana [emoji848][emoji848]
Nilichogundua wanawake nao ni mafisi kama sisi yani kuna kipindi una test pini zote zinagoma inakubali lile bayaaa unasuuza rungu hivyo hivyo the same to wanawake kuna siku wanamtafuta wanaume wengi kuna siku panakua pakavu ndio unashangaa msela unaletewa mzigo upige kimasihara
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji120][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Nimeisoma vzr mkuu Mshana ,ila huyo jamaa Sulemani mibaraka yake nahisi ilizidishwa maradufu aisee coz alipendelewa kubadilisha radha za wanawake tofauti kuliko mwanaume yoyote wa kipindi kile hahaaa nimeitafakari kwa jicho la kibaharia (natania)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom