Hizi bra za kisasa za wasichana

Halafu siku hizi si sidiria tu.....kuna booty pads....kuna chupi hizo zinazofanya demu aonekane ana ****** mazuri ya mviringo mviringo. Siku hizi bana...kila demu mzuri lakini uzuri wa kununua. Si nywele, si nyonyo, si makalio, si ngozi...kheeeee...tunaelekea kuzimu

Ndio yaitwa "PLASTIC LIFE", maisha 'ndivyo-sivyo' - Prof.j
 
Huwa nawatamani sana wale wenye BULGE OF PUNDENDUM kubwa hadi zinaonekana katika suruali zao za kubana. Kwa kweli akili huniruka kwani najua nitafaudu kwelikweli kitu kimevimba kama kitumbua? Acha kabisa mambo mengine miye sina mpango nayo kwani PEKING wanayafanyia kazi sana.
 
Haha! Pole sana lakini furaha ya mambo ya kisasa ni kuwa unaweza nunua ulicho nyimwa.Hata wewe unaweza nunua
nyundo kubwa kama ulinyimwa
 
Yaani.....ningeweza ningepiga marufuku hizo sidiria manake unaweza zuzuka na matiti ya msichana kumbe
ni sidiria tu.....yaani.....
aha nyie ndio hamtizami wanawake usoni nyie?

I hate men who stares at my chest... HEY look at me here I am talking to u....
 
asanteni sana kwa mada ihii\mimi yashanikuta siku moja nimezama ndani na demu kuchojoa nguo akaanza ubishi mara zima taa mara kanletee maji ya kunywa'ili mradi tu avue mi nkiwa sipo,kweli mi nkaenda kumletea ayo maji kurudi nkamkuta keshavua nguo,mhhh nkaisi kitu yeye alivyoenda kujisaidia mi nkaaza kumpekua nkakuta amevaa izo nguo zenye mahips ndo mara ya kwanza mi kuziona but nlishangaaa sana nkamuuliza mbona unavaa masponji ohhndo mtindo wa siku izi je wadau ayo ni yakweli?
 
Siku hizi % kubwa ya mabinti kuanzia 20 yrs nakuendelea ni "used" usibabaike na sidiria hizo.
 
mmh Booty pads Bongo mbona zimeshaingia miaka na miaka sasa kila duka linauza tena bila kificho, siku hizi unaweza ukakutana na binti ukavutiwa nae ukimchukua utachoka mkifika chumbani,

anavua wigi unakuta amesuka twende kilioni au ana kipilipili kama cha watoto wa kiume
unakuta anatoa meno ya sebuleni (ya bandia) anayaweka mezani)
anavua booty pad unakuta nyuma kumepasiwa
manyonyo nayo akivua bra ni saa nane usiku

hebu pata picha unaweza kukuta abdallah kichwa wazi hataki tena kusimama stimu zote zimekatika
 
Hapa nawaeleza wanaume wenzangu kuwa.....:
1. ukiwa makini bado utagundua kuwa huyu ana FEKI na huyu hana.NASEMA UKIWA MAKINI.Na sijui utakuwaje makini wakati tayari moyo unakuenda mbio.Hapo ndipo penye tatizo litakalokufanya ushindwe kuona.
2.Mwenye matiti yaliyosimama katu hahitaji brazia,HAIVAI utayaona tu ......yaleeeeee.Na mara nyingi atavaa nguo nyepesi au zenye uwazi juu ili uone advertise.
3.Tayari umeona kavaa brazia unategemea kukuta chuchu za saa sita?kaivaa ya nini basi bra?hujui kuwa brazia ni jecki?
4.Kwa kumuangalia mara moja tu tayari waweza gundua kitu kisicho cha kawaida.
5.Nadhani katika swala zima la mapenzi/mechi/kufaidi swala la chuchu kusimama au ameumbwaje huko nyuma ni vitu vidogo sana.
6.Kwa taarifa yenu kama ni kufaidi unaweza kufaidi zadi kwenye matiti yaliolala na sijui mnaoita waliona makalio madogo kuliko hao wenye kujazia.Kule Tabora nasikia wenye makalio bandia huitwa MJALADIO.
7.Kumbukeni chuchu kusimama na makalio/hipps kuwa kubwa tha'ts just kachumbari. PILAU YENYEWE IKOJE? hasa wewe kwamfano NIA YAKO UNAPOINGIA HOTELINI unataka kula kachumbari au PILAU?................FIKIRI SANA...nini muhimu hapo?...halafu nijuavyo mimi asilimia kubwa ya wenye matiti yaliyosimama,ukiondoa wana JF...ni hoi kwenye mechi,yaani mpira hawaumudu vizuri, inabidi uwe kocha.HABARI NDIO HIYO.
Anyway,ni mawazo yangu hayo,kwangu mimi hata akiwa na maziwa yaiyolala na asiwe na makalio anaweza kuwa bora na anafaa kabisa.
Mwisho nawashaurini oeni,muishinde tamaa,chuchu za saa 6 zisiwababaishe, na ikishindikana msisahau kutumia condomu.HUYU MWENYE MAZIWA SAA 6 AU MAKALIO YA KICHINA..... HAMTEGI MTU YEYOTE(MIMI)SANA SANA ANAJITEGA YEYE MWENYEWE TU.
 
hizo booty pads zikiingia bongo
sipati picha........
Itafikia wakati unaingia chumbani na mrembo
mnaanza kugombana kwanza..............


Zipo hizo mbona Mariedo? Kuna dada mmoja namfahamu ni mwembamba tu na hana wowowo wala nini,
But siku ya harusi yake kidogo niseme sie yeye kwa jinsi alivyobadilika, kumuuliza baada ya harusi akaniambia ni mambo ya Mariedo
 
cheki humo mkuu
KARIBUNI DUKA LIPO KATI SINZA MORI NA MAPAMBANO LINATAZAMANA NA GBP PETROL STATIONS KUONA BIDHAA ZAIDI INGIA HUMU
2.jpg
INAVYOONEKANA KWA NYUMA....INA ****** NA MAHIPS
1.jpg
WALA USIHOFU...NI KAMA SPONCH YA SIDIRIAA...HAKUNA AWEZAYE STUKIA LABDA UMWAMBIE
3.jpg
MAHIPSI KAMA YANAVYOONEKANA....RANGI ZIKO NYEUSI NA CREAM SIZE L.XL.XXL
Nikimkuta demu mwenye Booty pads kama hizi na mm huwa navutiwa na makalio na hips kubwa, napiga goli moja tu la kutoa uvivu, sirudi tena, tena, heri bra za kichina awe nazo kuliko ukute demu kajazia kumbe makalio feki, sintamrudia tena, once & over
 
Duh,,,,,
jamani hizi bra ,sijui sidiria za kisasa za wasichana zinababaisha mno.......

I mean unakutana na msichana unamtazama kifuani unakuta saa sita kamili, matiti yamejaa jaa...
Kimoyoyo unasema ntafaidi mimi....

Siku ya siku uko na huyo msichana chumbani, unayavamiamatiti na kuanza kusalula hiyo bra sijui sidiria...
Mara ghafla matiti yanadondoka chini pwaa....duh...kumbe ni sidiria za kichina hizi sijui.....

Yaani.....ningeweza ningepiga marufuku hizo sidiria manake unaweza zuzuka na matiti ya msichana kumbe
ni sidiria tu.....yaani.....
dah the boss na hili mmmmmmmmmmmmmh? sina mbavu nitakujibu saa saba
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom