Hizi boards zinaitwaje Wakuu?

Hizi boards zinaitwaje Wakuu?

VOICE OF MTWARA

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Posts
3,136
Reaction score
2,263
1791222693482.jpeg

Naomba kujulishwa board Kama hiyo iliyotumiwa na Abood inaitwaje na Bei yake ikoje
 
View attachment 3684712
Naomba kujulishwa board Kama hiyo iliyotumiwa na Abood inaitwaje na Bei yake ikoje
Hizi kwa kawaida huitwa advertising/display boards au billboards, kutegemea ukubwa na matumizi yake. Kama unamaanisha zile Abood anazotumia kwenye magari/maeneo ya biashara, picha ikiwa wazi zaidi inaweza kusaidia kutaja jina lake la kitaalamu na bei yake kwa usahihi.
 
Hizi kwa kawaida huitwa advertising/display boards au billboards, kutegemea ukubwa na matumizi yake. Kama unamaanisha zile Abood anazotumia kwenye magari/maeneo ya biashara, picha ikiwa wazi zaidi inaweza kusaidia kutaja jina lake la kitaalamu na bei yake kwa
1791224991116.jpeg
Pia Kama hiyo. Achana na hayo maneno. Nataka kujua hiyo board tu
 

Attachments

  • 1791224271586.jpeg
    1791224271586.jpeg
    10.4 KB · Views: 6
Back
Top Bottom