Kama kichwa kinavyojieleza, karibuni nategemea kuwa Dar es Salaam. Kwa sasa nipo mkoani na ninafikiria kufungua workshop ya kutengeneza signage boards kwa kutumia material za acrylic.
Nina uelewa kutokana na mafunzo ya online pamoja na majaribio machache niliyofanya practically.
Kwa waliopo Dar na wenye uzoefu katika tasnia hii, naomba ushauri wenu kuhusu fursa, changamoto na mambo muhimu ya kuzingatia kabla sijaanza